@siasatz: Awwww moyo wa kaka yetu, Karibu Tanzania #CharleneRuto 😍❤️🥰. Isn't she lovely? 😘 Ukiachana na drama za familia ya Mama Dangote watu wa kwetu ni wakarimu tutakupenda na kukuheshimu kikubwa kaa mbali na Mai Tv🚶🏼🚶🏼 #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30
that's meaning of love congratulations to Ruto's family for proving wrong famous ppl always married themselves.
2026-08-09 07:20:59
5
princess reicah♥️ :
wifi yuko ten over ten
2026-08-09 07:53:28
1
Madame Yuuh9919 :
🤣🤣🤣🤣🤣ila comment.🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-08-09 20:30:28
0
James Jr :
Tukisema wakenya ni wake zetu yani wachumba tu. mmetuelewa sasa
2026-08-08 20:19:37
154
Temenal@😍🇹🇿 :
Kalibu kwetu wifi tutakushonea nguo nzuri 🥰🥰🥰
2026-08-09 08:02:08
45
saumu bindo :
SHE HAS A GREAT SMILE
2026-08-09 17:02:45
0
bibiejuma5 :
kusema ukweli wifi sijamuelewa 😂
2026-08-08 19:09:26
522
Marco :
Kenya kuanzia leo nitavuka border bira Passport si tunaenda ukweni? 😅😅
2026-08-09 08:07:20
64
@leticia :
kaka zetu nanyi mnajiamlia mambo sana. muwe mnatushilikisha kwanza familia zenu., hatujamalzana na swala la jux mmeenda kenya tena! tutapata wapi watani kama Kenya tushakua wakwe sasa?🥺
2026-08-08 18:02:21
351
Bray_Senior :
sashv kufika Kenya ni free pale mpakani nikiulizwa nasema naenda ukweni😁😁😁😁
2026-08-09 10:47:26
170
Halima Sweid :
from cousins to in laws awww😁😁
2026-08-09 15:32:49
3
irene12 🧸🧸 :
sisi kama mawifi hatujampitisha kabisa kabaya sema tu pesa😂
2026-08-09 14:13:38
37
Tatoo_girl :
mimi kama wifi kusema kweri hatumtaki🤣
2026-08-08 21:43:40
50
moyj :
Tanzanians heshima idumu sasa you are our brother -inlaw
2026-08-08 21:22:28
15
babe🌸fahyma🦋🌸 :
Ni wifi yenu me sio wifi yang 😂😂
2026-08-09 06:05:38
13
@ :
Msitufokee kama hatujamuelewa wifi tusiseme 😂😂🙌
2026-08-08 21:43:15
7
upendo Kennedy :
Mmh tuache na yote bhana wifi ata havutii msinichambe kikubwa hela au
2026-08-09 10:19:02
11
millie.💫🩵 :
kaka wa watu aliamua zake kwenda mombasa😂😂
2026-08-09 10:07:53
15
Queen Swai :
tunaomba nguo ya send off na harusi tumshonee sisi tafadhali
2026-08-08 21:24:46
42
TOP 🇰🇪 :
Kuanzia sasaivi tunaenda TZ bila passport si tunaenda ukweni au 😂
2026-08-09 18:53:50
5
Dalali Rick Kigamboni :
Hii kwa Tanzania ni heshima kubwa
2026-08-08 15:00:42
62
yusra dev :
Jamani kwasababu ni mtoto wa raisi aina shida
2026-08-09 03:52:09
29
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm
homepage.