@kendrick_kalisah: Hivi ndivyo Afisa Habari wa timu ya Simba @ahmedally_ alivyoingia na Simba wawili kwenye tamasha la Simba Day katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam. ✍️ | @kendrick_kalisah 📽 Azam Tv

Kendrick Saidi
Kendrick Saidi
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 08 August 2026 15:04:03 GMT
18547
949
41
22

Music

Download

Comments

itc_nuuh
Nuuh natalya :
haina comeback 😍😍
2026-08-08 16:35:09
2
msigwalucy
msigwalucy35@ :
Simba wenyewe hawaelewi kuna nn
2026-08-08 16:45:29
3
princess_nelove
Neykhamy :
Haitakuja tokea 🫡 hii Nd Simba 💪💯
2026-08-08 16:42:10
4
saverra.mosesy
Saverra Mosesy :
mnaleta userious kwenye utani😂😂😂😂😂mi niko zangu singida
2026-08-08 15:54:46
11
reyhan.sweety
reyhan sweety💝 :
simba wenyewe wanawashaangaa "hawa kina nani hawaa"
2026-08-08 16:46:22
7
shonz_19
Latrix_19⛎ :
me napenda wangemtoa tu ili pachangamke zaid au mnasemaje wakuu😁😁😅..unakuwa ni mtafutano tu yan unamuona Ahmed anaruka fens☺️☺️🙌
2026-08-08 18:05:53
2
twaiba.alty
Twaiba Alty :
nimependraaa
2026-08-08 17:43:59
0
user2356319281034
Nassor daud :
lile xilo goli limeingia tu kwan bahati mbaya
2026-08-08 19:16:32
0
user4991579057294
user4991579057294 :
woyoooo🤣🤣🤣🤣
2026-08-08 16:27:22
0
wwriktok.winnie
Winnie🥰 :
Haya sikuwepo na sijui kitu yoyote🤣🤣🤣
2026-08-08 17:27:24
0
wool_357
AMINA -MUSSA✅❤️ :
Nimependaa 😂😂😂❤️
2026-08-08 16:24:55
0
coach.peter07
Coach Peter l Afya & Mwili :
simba 🦁🦁 ni moja tu
2026-08-08 16:42:17
0
user9371204657148
aika :
wee wale wa nane nane hao🤣🤣🤣🤣
2026-08-08 16:10:03
1
gladnessjeremia5
Chef Glad 👩‍🍳 :
mngekua vidume mngewatoa humo ndani mbona mmewafungia ndugu zenu 😂😂😂😂 wapeni uhuru free simba
2026-08-08 16:04:33
3
itsnanah61
ITZ_NANAH 🦋🦋 :
ngoj nisubili kesho nione chura
2026-08-08 17:14:49
0
nareen598
Nasreen :
Kwahiyo yanga wataingia na vyura au🤣🤣🤣
2026-08-08 17:15:17
0
To see more videos from user @kendrick_kalisah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About