@sadock.farm: Fuata hii fomula kuanzia vifaranga WA mwezi Mmoja upate matokeo mazr nimefafanua Kila kiungo hatua kwa hatua kama hujui hii video ni kwa ajili yako #reelschallenge #reelsviralシ #kukuwanyama

SADOCK FARM 🐔
SADOCK FARM 🐔
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 08 August 2026 15:14:45 GMT
2620
57
14
19

Music

Download

Comments

user848122385061677
ntoshagaz call G ✊ :
mchanganyo wa vifaranga ni vpi mkali ?
2026-08-08 15:25:05
2
silvia.richard
Silvia Richard :
Tuandikie huo mchanganyiko
2026-08-09 18:51:18
1
mallo2025
Mr.G@1987 :
hiyo Kwa ajili ya ukuaji inaitwaje kaka?
2026-08-10 03:50:32
0
agatha.mokiwa
Agatha Mokiwa :
nitumie huo mchanganyiko na mm nichanganye kuku wangu Wana wiki saba
2026-08-09 17:44:13
1
user6016729735305
user6016729735305 Fredy :
kuku wako niwakienyejia au vip bro,,
2026-08-10 06:07:13
0
user6974512439258
user6974512439258 :
chakula iko ni cha kuku wangapi?
2026-08-09 18:12:51
0
To see more videos from user @sadock.farm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About