@bwigane.tv: Haya sasa semaji @ahmedally_ alitangaza ataingia simba day na ungo hatimaye katinga na simba wawili kutoka mbuga ya Ngoro ngoro #bwiganetv_soka
kama uyo Simba anawafaham Simba wenzie wamfungulie washangilie wote
2026-08-08 18:46:03
5
Gift mudy :
wametisha jaman
2026-08-08 17:53:12
8
Khadija Salum :
Tatiz Simba jike😁😁
2026-08-08 18:01:57
1
🦋urlove sia🦋 :
naomba mnifollow vipenz
2026-08-08 18:25:50
1
💐Mr katot💕 :
nachora hina vpz vyang nipo mbande mwisho
2026-08-08 17:22:14
2
officiallmaniger34 Tz :
woohoo I love you too baby girl
2026-08-08 20:31:42
1
Aminauyoga :
ila kuwa simba lah nyie bc tu
2026-08-08 18:54:29
2
eliza mahoo❤️🔥 :
🥰🥰🥰🥰
2026-08-08 18:24:22
1
Andrea Nzala :
yani kama Move
2026-08-08 22:26:32
0
Amina Shabani :
yanga cjuh wataingia na nn
2026-08-08 22:36:47
0
Hadija Zuberi :
wametisha sana yaan
2026-08-09 15:53:23
0
emma marwa :
unyama
2026-08-09 19:11:53
0
@ :
simba jike yuko hivoo😁😁
2026-08-09 20:13:32
0
schubbs1968 :
jamani Simba tumekuja na wezetu sasa na 12 yunaingia nao uwanjan
2026-08-08 23:24:37
0
Mshangazi :
@Mshangazi: Mi ni Yanga Ila hapa kWa kuingia na simba live nawapa Hongera.hii itawatambulisha kima taifa zaidi.sababu mataifa mengi wanajiuliza imewezekanaje.👏👏👏
2026-08-08 21:30:35
0
gcela34 :
Mimi yanga ila hii niliipenda
2026-08-10 12:24:46
0
amara :
sanaaa
2026-08-08 15:45:05
0
CAREN MSAFWA ❤️ :
ila huyu naye
2026-08-08 18:48:33
1
user2058217234252 :
mmufungulie jaman
2026-08-08 19:12:10
0
princess Annie 🍎🥰💟 :
penda sana msemaj wetu❤️❤️
2026-08-10 12:29:51
0
nanaa 001 :
ila cmba wabaguz kwann wacmfungue cmba mwenzao jmn😂😂 nae ana haki
2026-08-08 20:29:21
0
mooh boe💀💀 :
mbona mnawafungia Simba wenzenu kwenye cage hamuwaamini au
2026-08-08 20:51:18
0
Caren 🥰🥰🥰 :
oyooyooyoooooooooooooooooooooo i😂😂😂😂😂
2026-08-08 21:17:48
0
Gift Calister :
unyama mwingi natamani nipae paaaa nije daaah😡🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️❣️🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍♥️♥️❣️❣️♥️♥️🤍🤍🤍🤍🤍🤍♥️♥️♥️♥️♥️🤍🤍🤍🤍♥️♥️♥️♥️♥️🤍🤍🤍🤍🤍🤍 Unyama mwingi
2026-08-08 17:31:16
0
To see more videos from user @bwigane.tv, please go to the Tikwm
homepage.