yan unalipa kodi milion 9 kwa mwaka, hiyo milion 9 si unajenga jaman
2026-08-08 18:23:23
95
operator g7 :
hiistoli tumeikataa kama vijana
2026-08-08 18:27:52
84
suzzy :
Ulipataje pataje?
2026-08-08 22:40:13
1
NDUNDE💫 JR :
milion tisa bro kwetu hy pesa unapat kiwanja unajenga nyumba mzur2 jitambue,
2026-08-08 19:13:17
13
Joy Mazao le madame :
history Yako haisikitishi ila inashangaza
2026-08-09 04:25:51
16
chiefgodlovetycoon :
Story nzuri Ila aieleweki inaanza mwisho kuja mwanzo
2026-08-09 06:37:39
10
Being Nellyzitta :
wachache watamuelewa ila kikubwa ni iman
2026-08-09 05:35:56
16
WOLF_GANG :
story hai make sense,
2026-08-08 19:34:02
2
Steve one-1 :
Uyu jamaaa tunamwelewa wenye ndoto kubwa tu ninyi mnaowaza kod ya 9m Jamie’s elewa mwisho wa story kafanikiwa Ma hyo hyo kod
2026-08-08 20:45:07
17
Riri :
kuna ile ya kutengwa na kila mtu nyie😭
2026-08-08 21:25:17
10
Sam B Benger :
stol aimuzi ata
2026-08-08 18:35:21
1
chapo :
cwezi kukaa nyumba ya hiyo pesa na nina somesha
2026-08-08 20:36:15
7
junior samwel :
uyu alikuwa na seting zake ila sio km alikuwa ana
2026-08-09 01:30:21
6
raufambtxvt :
Nimeitafuta hii aya niijue mama yake ,nimegundua iukimtumaini ALLAH kwa imani anakupa na anakutosheleza hakika m/mungo ni mkamilifu wa ahadi zake..Masham Allah
2026-08-09 06:15:16
28
Mcmanasee :
Mtangazaji uwe na utulivu mwanetu, sasa miwani ya nini, to be emotional is okay.
2026-08-09 01:44:41
10
Dr lyimo :
ulipataje au nimchongo gani ulikuwa unausikilizia wakupa iyo 89 milioni
2026-08-08 19:42:50
7
mruma :
hii stry inashida sisi vijana tumeikataa
2026-08-08 18:25:33
7
nick.mangimeli3 :
AMININI NACHO SEMA HAPA...(( HUYU JAMAA ANARUDI KWENYE LEVEL YA UTAJIRI SOON)).....KARIRINI HII COMMENT. ✊️
2026-08-09 18:34:07
0
dl :
unamwomba mungu cx5....kweli binaadam wanamatatizo.
2026-08-09 12:18:37
0
#21600# :
WATAFUTAJI HATUTAKI KUELEWA HII STORY
2026-08-09 05:55:41
4
𝒅𝒐𝒄𝒕𝒐𝒓 :
Hii movie naijua
2026-08-09 04:31:25
4
To see more videos from user @modernart225, please go to the Tikwm
homepage.