That true, nlijegea wazazi simple house but kila time nkiogea na wao then last word barikiwa mwanagu.
2026-08-08 16:47:55
43
Blessed Albright 🇰🇪🇱🇷 :
I will live 100 years plus because of how I honour my parents
2026-08-08 20:49:58
19
𐙚୨nyamburaৎ✰☔️🌨 :
shauri yao🤣🤣🤣disrespect me tupelekane
2026-08-08 21:36:55
13
💋Akothee@001 🫦 :
Wazazi wengine n mashetani😏
2026-08-09 09:18:23
16
joji joji :
let us build for our parents baraka tele 🥰
2026-08-09 15:18:25
7
ESIRO ANTHONY TV :
This scriptures in the Bible Works only for Africans ,This kind of manipulation should now end we are tired,some parents are toxic.
2026-08-09 11:31:36
5
Juliet khavai :
mm babangu Alioa bibi ya pili mama akateseka nasi tumekula mawe weee,in life achana tu na advice mingi Kwa watu baraka hutoka Kwa Mungu
2026-08-09 18:20:14
19
morena :
wangu anaeda kwa mganga na boyfriend wake kunikanyagia ili nisiedelee 😭😭ni ngumu Sana
2026-08-08 22:23:27
5
DOROH 21 :
Nilijenga ya mbao room mbili hawakuingia🤣🤣baba akasema nimlipe miti zake nilitumia
2026-08-08 17:59:24
25
MFALME :
sio lazima inategemea na vule wanabehave...mtu mlevi.ukimpa pesa za project anakunywa zote,ukilima anauza chakula,ukifuga.mbuzi anauza huyo.si ni shetany😂😂😂😂😂😂
2026-08-09 20:20:00
15
Lucy Muthee :
kweli mama yangu ata akue Ako aje ni mama yangu,I love mama💗💗
2026-08-09 06:43:06
6
RAHAB MURATHIME OFFICIAL 🇰🇪 :
Mimi naye mzazi wangu ndiye no 1
2026-08-08 22:16:13
11
nyagoti :
Mimi nilijengea mamangu bwana alipo jua akaniacha but nashukuru niheri aniache lakini nibaki na kipenzi mamangu
2026-08-08 21:44:12
10
kyalo syengo. :
hio Ni uogo tupu, nothing like that,kila mtu ang'ang'ane kivyake,
2026-08-09 12:55:56
8
RICHARD JNR 🇦🇪🇰🇪🇰🇪 :
I Love ❤️my mam and dad 👨 ❤️💕 ♥️big love
2026-08-08 21:16:25
5
saramwendo :
tangu nisamehewe na babangu ata salary niliongezwa kazin...I ll never hate my parents again..
2026-08-08 18:23:17
13
jack Madonah :
shida wazazi wengine wamekuwa madui kwa watoto wao niulize Mm ntakwambia yenye ntapitia uko home
2026-08-11 17:24:39
3
mwende :
For sure Mimi sitaki baraka zao, Nataka baraka za MUNGU hizo baraka zao wajiekee
2026-08-10 05:20:38
3
FaithRon 🥰🥰 :
hapa wanarepost aje nataka mdogo wangu aone hii
2026-08-09 18:16:38
3
paskalina :
wazazi wenyewe sasa ndomana biblia nayo inasema enyiwazazi msiwachokoze watoto wenu wasije wakakata tamaa
2026-08-12 18:03:28
0
i.t s.floric :
how about toxic parents
2026-08-08 20:49:09
1
To see more videos from user @coach_patricko, please go to the Tikwm
homepage.