@uswege_dankenjr: Mwekezaji wa Klabu ya @simbasctanzania Mohammed Dewji anasema bado anazo fedha za kutosha benki kwa ajili ya usajili kama bado unahitajika. Vipi wanamsimbazi mwekezaji anatakiwa kumleta nani kwenye hizo hela?" #uswegeupdate #uswege_danken #uswege_digital #simba #modewji