Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh, samahani naomba niulize je yule ambaye anaota ndoto anapewa pesa je nayo ni vipi
2026-08-09 05:42:07
0
www.com.zdk44 :
salam
2026-08-12 07:49:35
0
popo :
je ukiota nyoka mweusi ndani ya room Yako kwenye sehemu ya chombo kama beseni inamaana gani
2026-09-30 13:29:20
0
leila shomari :
mm huwa namuota bibi angu namuomba kiwanja
2026-09-30 17:53:01
0
jh :
naomba nmb
2026-09-19 06:19:41
0
Mwakhamis Abdullah :
Mimi naota sana
2026-09-16 11:18:24
0
user6698188848002 :
Sasa kama ni meaning tufe je
2026-09-19 12:53:39
0
user mumzz :
Niliota mareem ananipa kitu inamaanisha nini
2026-09-17 16:38:56
0
Anguse amina :
amen
2026-08-10 21:10:03
1
miss boss :
nitafsirie maana ya mikono kuwasha na miguu
2026-09-03 18:30:23
0
user7051491731026 :
je ukiota maremu akisema futa njia ilio nyooka njia yenyewe aina kona ata moja ina mana gani
2026-08-14 18:38:02
0
Juma muya :
Mimi nimwoya ndoto nakula matumda ya njano kama wmbe halafu apoahapo nikaota nipo juu ya ghorofa nzuri Sana nipo juu
2026-08-09 17:52:07
0
Miss kuchu 🦋 :
Hyo Ndoto ya za maiti naota kila siku has a naota marehem bana na kaka yng MSAADA JMN
2026-08-15 10:13:39
0
user67935634258078 :
mimi apa
2026-09-26 17:05:58
0
isaah :
mimi huwa naota nalala na mdada au na hesabu pesa ilihali mimi bado mwanafunzi vipi hapo
2026-09-03 13:10:23
0
Mwakhamis Abdullah :
Mimi maskini naomba unisaidie
2026-09-16 11:19:01
0
mukandayisengaasi8 :
assallam alaykum warahmatullahi wabarakatuh
dct Mimi nakuomba unifafanulie
malamingi naotaga Niko kwenye choo,Niko navuka mito,Niko nalowana kwenye mvuwa.
kisha nyuma kutoka kwenye ndoto najikuta kichwa inauma sana
2026-08-10 15:45:20
0
Clara :
mimi nataka ku zaa
2026-08-10 19:22:31
0
Tumhantum :
mimi naota sana nipo kwenye nyumba yetu ya zamani kila siku iliyo kuwa konge inakuwa kama naishi humo nisaidie nikitu gani
2026-10-05 13:02:06
0
Shafii Broken :
mungu dereva
2026-10-02 19:10:21
0
jasmin :
nime ota niki fanya mapenzi na mwanaume ana mkia refu😂😂
2026-08-10 14:30:38
0
hepifania Peter tuseko :
JE DOCTOR UKIOTA UNAPAA GHAFRA UKAANGUKA MBELE ZA WATU WAMEKUULIZA MBONA UMEANGUKA UNAWAJIBU NDO TUNAVYOCHEZAGA INAKUWA NA MAANA GANI?
2026-08-10 12:09:11
0
Sp🥰 :
je ukiota bosi wko ana kupatia pesa na akiwa kwenye Gali na likienda mwendo kasi ..
2026-08-10 11:37:01
0
To see more videos from user @doctorselle1, please go to the Tikwm
homepage.