mimi alinipigia sa 8 usiku nna wenge balaa ananiambia nakuja kwako saiz najua kabisa usiku geti linafungwa funguo anakaa nayo mwenye nyumba nikamwambia njoo ametoka mwenge akaja mpaka riverside ananipigia namwambia geti limefungwa rudi kwako😂😂😂 hadi leo nipo single
2026-08-09 12:00:43
36
Kiribati :
Nipo nyuma yako
2026-08-10 17:57:38
3
cilla💫🦋 :
niko kwenye kikao😅
2026-08-10 14:21:00
4
@Kity _ catty :
kwenye ungo naelekea njombe
2026-08-09 09:25:15
3
Maggie lee :
nipo nje naota jua🤣
2026-08-09 11:00:55
2
PIL cutey :
nipo mbinguni kwa mbele kidogo
2026-08-09 09:22:51
8
Official Matti :
Niko mbinguni, nasubiria hukumu😂😂
2026-08-09 11:08:19
4
P❤️💐😋 :
Na otea juaa nipate vitamin c😁
2026-08-10 20:01:20
3
Nellie jabsie :
Kuzimu nakaanga viungo vyako kuchomwa 😌. Now can I sleep 😏
2026-08-09 18:09:14
2
HAPPINESS :
Kwa pilato nasulubishwa
2026-08-09 07:47:03
5
queendramma💫 :
me nilipgiwa saa7 usiku tukaongea ad saa 1 asbh na penyew ni baada ya salio kukata🤣
2026-08-10 15:50:32
0
Me 🌸💐🌹🦋 :
Nje naota jua
2026-08-09 09:49:30
1
Poshy❤❤ :
Naota jua
2026-08-09 09:38:04
1
Gee :
niko nje napalilia mahindi
2026-08-09 07:23:40
1
>______Reen 😍🥰 :
niko mochwari
2026-08-09 11:25:23
2
Mwani 003 :
Eti umelala? nikamjibu nipo nje naota Jua mpk leo hajawahi kunipigia usiku
2026-08-10 13:05:27
1
Aggy💝 :
Nipo Nakunya😂
2026-08-10 21:31:09
1
@bisalka :
mbingun
2026-08-09 06:54:56
1
To see more videos from user @jabges, please go to the Tikwm
homepage.