@al.akhi.naasir7: MAULID ni Halali au haramu

Al Akhi Naasir
Al Akhi Naasir
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 08 August 2026 18:56:32 GMT
55107
4802
375
458

Music

Download

Comments

majid.20950
Majid🤗😎 :
Akiingia madina alipigiwa dufu lkn na hakukataza😂😂mm maulid naenda nayo mpk kiama chasimama kisha Allah ataenda kutuhukumu bimaa kunna nakhtalifuun🤲
2026-08-08 21:54:05
12
hassanriami
hassanharis :
mashaallah is the truth
2026-08-08 22:10:33
1
patrol_y61_
Patrol Y61 :
"Ibada ni kila anachokipenda Allah na anakiridhia" Maulid ni bid'a
2026-08-08 19:13:00
23
xping26
Xping :
Hiyo kaida uloisema ni kinyume chake: asili ya kila kitu ni halali mpaka ije dalili ya uharamu wake. ✅
2026-08-09 02:50:20
6
black.panther095
Black panther ⚫️ :
Sory kumswalia mtume Ni ibada au sio ibada? Maana ndo kinacho fanyika
2026-08-08 19:54:01
7
salhathrift
Thrift by Rummy :
mfungo sita ukiingia Kuna watu wababaika sana maulid tutayasoma paka kisimame kiama niswifa za mtume wetu Mohammad (saw) الني حي في قلوبنا
2026-08-09 08:25:07
14
sajmoney2
🦋MISS SAJ🦋 :
Asant jazzakalah kheri 🤝
2026-08-08 19:09:28
3
shekhe.siraji
SHEKHE SIRAJI :
Mashaallha
2026-08-08 19:35:57
0
user_kadabra
Ibrahim :
Bora ostadhi umelifungua dukuduku langu
2026-08-09 07:34:20
10
user4155438796140
BEK@ :
Naam shekhe nakuunga mkono kabisa
2026-08-09 07:09:51
2
hudhud.tv1
ZZZ2 :
ukisema kila bida ni upotovu basi katika ibada zetu bida ni nyingi sana hivi unajuwa kama kukunja mikono katika swala ni bida kuswali juu ya busati ni bida
2026-08-09 04:44:57
2
mariam.ramadan373
Mariam Ramadan :
Kabisa tumeelewa mimi maulidi sirudi tena
2026-08-09 09:54:27
1
zainhertnassoro
user3301505096178 :
Shida kubwa nkwamba siku izi waislamu wanapeleka dini kulingana na upendo wao c kwa kufuata Quran wala sunna. Sasa ustadh kaeleza vizur tu mwabishania nn apa, leteni ushahidi wa maulid kua halali FULLSTOP
2026-08-09 05:16:23
1
ustadhjumaa
u$tadhjumaa :
Assalam alykum Shekh,nakuomba ufahamishe Maulid ni nini?
2026-08-09 18:56:07
0
realyahyamohammed98
Yahya Mohammed :
democracy pia ni haram ma boda mbona mwashiriki
2026-08-09 08:27:06
0
sauda.hsbibu
Sauda Hsbibu :
Naomba kuuliza kwaiyo tunapo olewa tufanye nini
2026-08-09 08:20:41
0
saiyaara106
saiyaara :
kuna mtu aliniambia kutumia tasbihi haram
2026-08-09 06:38:03
1
sekenkekwetuoilmill
SEKENKEKWETUOILMILL🌻🌻🌻 :
halaf kwani kuna mtu kasema maulidi ni suna? au kasema faradhi? badala kishindana kufanya kheri sasa mnaleta fitina kugombanisha
2026-08-09 12:31:03
0
liameabdallahmussa
liameabdallahmussa :
Kumswalia mtume kwani haramu kaka nauliza lkn
2026-08-09 13:53:39
0
salum_92
Salum 92 :
Jibu zur mashallah kaka il kwa alokuwa so Muelewa ataendelea kubisha
2026-08-08 19:50:38
1
adamcarrick15
edoboy15 :
Sisi tunatarajia malipo maan mtume alipohamia madina pia alipigiwa dufu na hakuharamisha mtume
2026-08-09 08:32:11
3
matfa11
☘️....فاطمة 🌿 :
kusherkea siku y kuzaliwa bil kueka alaa y mziki naomba ufafnuz
2026-08-09 04:32:45
0
iddinjiru
iddinjiru :
kuna dalili nyingi Katika hadith zinazo ruhusu vikao vya heri sheikh
2026-08-09 06:36:14
1
user8104276860761
M :
kaka npe Moja katika maulidi inafanyika ambayo ni haramu
2026-08-08 19:39:03
3
hudhud.tv1
ZZZ2 :
kwani bida ni haram
2026-08-08 21:54:04
0
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About