Tulio fatilia Simba day mwanzo mwisho na ili tukio halikuwepo naomba like.. we don't do AI
2026-08-09 04:49:05
91
Mr Famous :
Msimtoe huyuu😁
2026-08-09 04:21:06
12
Said Sm😎 :
We ndio King wa Ai upewe Crown 👑 yako mapemaaaaa. 💯
2026-08-09 06:33:38
5
Ray macake :
msituchanganye Wana simba
2026-08-09 09:20:40
2
juma furniture 0757133554 :
hayo mawazo yalikuwepo Jana kwa watu wengi lakini AI ikaona itoboe sili zawatu
2026-08-09 08:43:14
6
🦋 R@YN@@ 💗 :
nilitaka nimuone kwanza Ahmed ally na mo 😂😂😂
2026-08-09 04:00:23
12
@cova de light.. :
sasa Kwan si wangekula mmoja tu msingekimbia wote😂ila mtakunya saana mwaka huu..YANGA BINGWAA💚
2026-08-09 07:13:15
9
@Patricia Ibrahim :
nimecheka kama kweli
2026-08-09 07:03:05
2
briannah :
nilijua tu🤣🤣
2026-08-08 20:30:12
4
Estar chandaruah :
😂😂😂😂😂kama kweli vile daah aisee Simba Kila wakikifanya kwetu sisi nikichekesho😂😂😂😂😂😂
2026-08-09 05:21:54
3
khalid macripsi :
jana niliwaza hivyo 😂😂 nikasema ikitokea hapa uhuru sijui kutakuwa na hali gani
2026-08-09 07:55:09
2
Hammy G :
wenzetu waliacha ndala 😂😂
2026-08-09 07:02:20
1
Mrs muuh 🌸🤍 :
ila watu duuh😂😂😂🙌
2026-08-09 08:25:51
1
nanaa 001 :
hahhahah nilikuwa naisubili
2026-08-08 20:37:36
2
ZUFTAAH12 :
😂😂😂😂😂😂😂 Daaaah kwely ndugu hamna
2026-08-09 05:08:26
1
Juliana Pius :
🤣🤣🤣🤣 mniache nataka nikalale mm
2026-08-09 01:05:35
1
Godwin Michael :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mama mbavu zangu
2026-08-08 23:59:44
3
abduly :
Ila AI
2026-08-09 00:22:42
1
@baby-fey :
hahaha wamemkimbia ndugu yao
2026-08-09 04:04:52
1
Raymond :
GSM anaharibu ligi tutapeleka malalamiko FIFA amehonga Polisi Kenya itufunge, marefa wenyewe jau goli lenyewe kwanza ni offside,Mangungu na Mo wasepe tu wanatusajilia wazee Chama na Kapombe badala watuletee Fei Toto na Mayele
2026-08-09 06:06:56
0
To see more videos from user @user8266715412847, please go to the Tikwm
homepage.