izo adapter sio zakubinulia zote apo ni mbili tu izo kazi zake kubwa ni kutumia kwenye hallow naiyo cable sio yakutolea umeme wamajumbani nikwajili ya taa za trella
2026-08-09 06:33:01
7
ABS :
Bei gani?
2026-08-09 12:28:39
1
D man855 :
we ila ajafika Kwa mnyama vatra 1900
2026-08-09 09:30:59
3
krypton :
turbo watanzania jameni 😂😂😂
2026-08-09 10:04:13
1
eliya zakayo :
bei Gani hii mkuu
2026-08-09 08:44:48
1
CPA Myahud Tz💪 :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nikuonyeshe VALTRA kaka😂😂😂
2026-08-09 02:29:44
2
Faicko Mpande :
na swala difu lock haikai mbele huwa inakaa kwenye difu ya nyuma na difu ya mbele ni 4WD
2026-08-09 12:50:15
1
Sebaceous :
kitonga shi ngapi bro
2026-08-09 08:36:21
1
Revocatus..!! :
shida ipo kwenye spare hapo ndo pamoto 😂😂
2026-08-09 06:13:46
1
Official-Maluma💎 :
kwa muonekano ni nzuri ila kazini zinaitaji maelezo mengi sana😂😂😂
2026-08-09 05:44:56
1
yusuph op miner :
mbna Mahindra inazo hizo kak
2026-08-08 21:18:16
2
it's pogback75 :
mbona ipo chini sana kaka itakuajr kwenye visiki
2026-08-09 08:29:42
1
kevoo :
imenikosha kwenye mtung waupepo
2026-08-09 05:07:02
2
Faicko Mpande :
hizo sio soketi za umeme wa taa na kuchaji hapo ni sehemu pa kuunganisha waya wa trela kwaajili ya taa za brake na endiketa za trela
2026-08-09 12:48:56
1
Mahamba Mahamba :
Mchina aliyechangamka,ilikuwa kidogo nijichanganye!!!😅
2026-08-09 05:01:10
1
dinodonald0 :
HP 75 ni bei gani?
2026-08-09 03:50:04
1
Mary :
Bei gan
2026-08-09 04:28:32
1
Kafiky Og🦅 :
uhakika sana kitu kikal sana
2026-08-09 00:54:48
1
Daniel Mo :
maelezo mazuri ila umefeli kutupa kazi ya kuulizia bei
2026-08-09 04:32:12
1
Meddy :
ni bei gan
2026-08-09 15:31:30
0
kasenga :
ni sh ngapi hiyo trector
2026-08-09 16:45:57
1
To see more videos from user @marko_mtushamba, please go to the Tikwm
homepage.