atakama tumeambiwa turekebishane ila cio kwa istizai na kejeli WALLAH U'ALMA kila mmoja atabeba alichokipanda na hukmu ni kwa Allah ALLAH ATUPE MWISHO MWEMA🤲
mashallah tunafurahi unavo warakibisha na endelea mpaka wafajamu
2026-08-10 08:37:10
0
uthman :
kisha wakiambiwa wanachuki wasema ooh sisi tunafwata quran na sunnah... ipi?? na hata quran hawaifuati.
wanakibri wanajihisi wao ni watu wa peponi
2026-08-09 04:50:27
1
waliyyulla990 :
iswam ww ivoivo warekebishe kwa adabu na hekima naizo kibri hasad chuki waachie wao hao wanao jitakasa
2026-08-16 07:52:05
1
💗بنت يحي💓 :
Subhanallah ALLAH Akbar
2026-08-11 06:30:31
0
hassan mohammad :
Shukran
2026-08-09 00:07:28
0
AbuuMohamed :
si wakwanza shekh Abdallah humed kusema kupenda kula ni sifa za masufi ni imam wako imam shafiy
2026-08-24 01:50:23
0
Karumuna :
اللهم آمين
وعليكم السلام ورحمة الله وبركاته
2026-08-11 08:29:30
0
AbuuMohamed :
يؤسف النبهاني مبتدع له غلو والأطراء في رسول والصالحين
2026-08-09 13:36:13
0
AbuuMohamed :
ndio sifa za masufi wanazuoni wametaja hizo sifa za masufi katk hizo sifa ya kupendakula
2026-08-24 01:40:15
0
ابو ماهر :
wajua ukimkejeli mtumi Allah anakuletea mwenye kukufedhesha
sasa hapa Dalila umefika mda wake
mwanzo alikua Bachu sasa ni Dalila
2026-08-23 19:39:29
0
Jamal :
Hilo dileli ni summum bukmun
2026-08-13 12:00:26
0
AbuuMohamed :
هو شاعر وله ابيات شركية في كتبه
2026-08-09 13:37:12
0
AbuuMohamed :
hizo ni sifa mssufi kama imam shafiy ametaja imam bayhakiy ktk manakin shafiy.
sifa za masufi ni 4....wavivu,kula sana,kulala sana na maneno ya porojo...
2026-08-24 01:46:37
0
Mkojani Original 💯❤️ :
Sheykh hebu wape elimu hawo mawahab
2026-08-08 20:58:40
1
AbuuMohamed :
مناقب الشافعي ذكر امام الشافعي.. صفات الصوفية اربعة .كسؤول ..اكول...نوم...كثير الفضول.
2026-08-24 01:48:38
0
To see more videos from user @esamkaawele2024, please go to the Tikwm
homepage.