Wamechukua cheo wamemuacha na upendo kwa watu wake MaashaAllah
2026-08-09 07:36:41
120
sada bakir :
Mashaalla,
Mashaalla,
Mashaalla.
2026-08-09 18:12:59
1
umu Hanan :
namuomba Allah aniruzuku mtoto wa kiume mwema kwake na Kwa waja wake
2026-08-09 06:26:36
51
Bibi Cocu :
Mufti Walid❤️.
Maudhurio yamevunja rekodi.
2026-08-09 06:14:45
40
Fatma-89 :
Hili ni kanisa gani?
2026-08-09 11:32:48
6
Halima Ahmed :
walijua watamshusha kumbe ndo wamempaisha haoo limewashuka shuuu shekh walid ni kipenzi cha watu kawazihirishia leo
2026-08-09 08:45:38
49
Zamzam :
Taakbiiiiiiiiiir alwahu akbar
2026-08-09 09:12:35
6
achura :
Aliyepandishwa Na Allah akuna anayeweza Ku mushusha
2026-08-09 11:21:31
10
Milsheack Ndawule :
Shehk Walid Allah akulinde na kila shari
2026-08-09 13:55:05
9
Dr. Ibrahim Wainaina. :
TZ fanyeni mpango Sheikh Walid awe Mufti na Sheikh Mkuu wa TZ na mtakua mumefaulu sana.
2026-08-09 06:03:05
21
Mtwa :
Mute mnatangaza mapema mikutano ya huyu Sheikh ili hata sisi Wakristo tuwe tunahudhuria, Mungu ni mmoja
2026-08-09 12:19:03
6
MsJohari :
mungu akulinde kipnz cha alla
2026-08-09 17:57:10
5
ZAITUNI Mbughi :
mashallah mwenyenzi mungu amjalie kheri zake shehe walidy
2026-08-09 17:03:24
5
Mr Ahmad :
mtume mtume mtume
's. a. w
2026-08-09 09:48:55
5
Thulhiy :
MashaAllah
2026-08-09 04:13:55
5
Abdi Ramadhani :
marehemu shabani robati anasema usitawale miili ya watu zitawale nyoyo zao hsyo ndio matunda yake Alllah Amuigadhi shekh
2026-08-09 09:32:19
14
Oman Ruwi :
Mashaallah Sheikh wetu umebaruza waache wanafkh nahusda zao inshaallah Allah azidi kukulinda
2026-08-09 07:44:13
7
Mariamu Masaninga :
Waislam Takbiriii Allhahu Akbar Allhahu Akbar Allhahu Akbar allhah amuhifadhi shekhe waridi wallh weng wanyonge tunakupenda tunakuheshim na tukopamoja nawe shekhe wetu kwa kipindi chote cha furaha na majonzi 🥰🥰
2026-08-09 06:31:17
19
MAMA P ❤️ :
sina cha kusema zaidi ya kusema Amina
2026-08-09 08:10:48
5
sudantz :
NILIWAAMBIA MUFTIII NI MMOJAAA TANZANIA 🇹🇿 SHEIKH WALIDIII HUYOO MWINGNE HATUMJUIIII
2026-08-09 06:54:05
14
To see more videos from user @zubeir.masai, please go to the Tikwm
homepage.