@user9906970590305: jamani tumezidi tupunguze

kijana muadiventista
kijana muadiventista
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 03:29:56 GMT
4729
250
26
27

Music

Download

Comments

johnson.masaka4
johnson masaka :
familia yangu nilipiga marufuku kuwaona wamejoin kwenye matching team
2026-08-22 11:44:39
1
mussazengo
Mosses' :
Hasa siku ya kufunga Makambi huwa inaniboa sana ila basi tu!
2026-08-09 10:11:20
3
user4057729991019
Life story :
Pr Mungu akubariki umeongea kwaya sasa hv imekuwa ya kipindi cha makambi ndio wanakuwa wengi wanavaa vinguo vyao vya kubana wanaimba wanacheza kufunga kambi ndio usiseme hiyo maching ni kama uoo kwenye show ya diamond ukicoment wanakwambia kwani wewe ndio muanzilishi wa sabato sema mchungaji mi nimeshindwa wanaona tunawaonea wivu
2026-08-16 13:21:04
3
user5688418153106
user5688418153106 :
True
2026-08-23 11:18:22
0
jacline915
jacline :
Pasta uwatunamachi vizuri et
2026-08-22 18:48:05
0
annamtewa
annamtewa :
sema wa sda tumadilike
2026-08-17 11:11:03
0
user5995061700713
user5995061700713 :
barikiwa mchungaji
2026-08-10 17:15:15
0
user820426812026
mama j🌹🌹 :
nguvu ya mziki kanisani
2026-08-09 04:56:21
0
ingabilerachel2000
ingabilerachel200🦋🤍💙 :
yani mungu atusaidie sana,bila yeye hatuezii tunaenda namambo yakidunia sana
2026-08-12 18:19:38
0
mariamzengo
Amina :
amina🤣🤣
2026-08-09 14:20:46
0
user4057729991019
Life story :
Utawaona
2026-08-16 13:22:11
0
happy.bwire8
happy bwire :
kweli kabisaaaaa pastor Semba waimbaji wamezidi kabisa si kwa marching hizo ni ujinga mtupu wanaahibisha kanisa na maadili ya Waadventista wasabato MUNGU akuzidishie hekima kwa hilo ni AIBU
2026-08-21 10:49:35
0
madamt622
Tausi h stanslaus :
😁😁
2026-08-09 17:50:38
1
lucas.mogoi1
@lucas mogoi :
🤔🤔🤔
2026-08-09 03:43:14
0
eliasda29
Damalielias :
🥰🥰🥰
2026-08-14 14:43:35
0
To see more videos from user @user9906970590305, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About