Uyo mshikaj anatumia nguvu kwenye kuimba.tunao sema vitamini kaua weka like hapo tujuane
2026-08-09 04:41:52
1253
NOGG_-_JR ✅ :
anachozidi @saluh labda ni kutetemeka mda wa kuimba 😂😂
2026-08-09 10:22:05
169
Young face_Tz :
Wote mnaoongea hamjuhi mziki.. Sikieni..jaribuni kutofautisha vitu viwili tofauti.. saluh kaimba kwenye chombo ya muziki kama microphone ina lizer za mchujo apo.. ila msomali kaimba live akapela iyoo.. hivyo apo uhalisia upo kwa msomali.. Mkitaka kufahamu saluh aimbe live akapela pia ndiyo mtafahamu nani kapiga sauti vzuri... saluh mkali kwenye vyombo ila sio live akapela...ILA MSOMALI ni motoo sauti ya asili🤟🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-09 10:07:36
108
ilyin🌸🌸🦋🤍🖤❤ :
saluh anaimba kwa hisia bhn mpeni like zake
2026-08-09 13:24:03
145
Zuhura Saidi :
vutamini kauwa 🤣🤣🤣apo ndo mbosso ajaja
2026-08-09 05:10:03
277
fighter tommy 💥 :
teemu saluh Tukutane hapa
2026-08-09 05:12:34
114
julinax jorlivinny :
hivi saluh tz unamjua treyzah,vitamin,vanilla tz
2026-08-09 14:24:24
1
slim girl🍀❤️ :
sauti ya vitamini ya kaswida bhn saluh anajua weeee🥰
2026-08-09 11:50:15
77
tyga_cosmetics :
Salu to the world hii voice imeshiba wakuu tuache unafki🔥
2026-08-09 16:37:40
2
naahy🦋cute🐦🔥👿 :
ukwel nisem salu kaimba bhn kwanza kwa hisia sn na katulia tuweke ushabiki pemben salu kuwa 🔥🔥🔥
2026-08-09 11:50:21
28
prince ford :
Hahaha! au nimlete Bi Kidude hapo for once again..😂
2026-08-09 17:13:13
0
🦋🌸Fetty🍭🍭 :
maneno mingi alaf hamjui kutofautisha Salluh kaimba kweny chombo ya music kama microphon na ina lizer ya mchujo wa saut Vitamin kaimba nyumbni tunaosema vitamin kauwa gonga like hapa🥰🥰🥰
2026-08-09 15:29:53
28
bwax mendez :
msomalii unajua ila voice ya saluh imetulia sana
2026-08-09 09:37:25
36
William Talita :
respect bro
2026-08-09 16:35:57
0
IT'SMEKENDRICK.. :
Hapo saluh kabebwa na mic za studio lkn vitamin yeye katumia sim lkn yupo on 🔥🔥😂😂
2026-08-09 13:51:53
21
Family🫡 :
Saluh ana voice nzur bn ebu msimpinge
2026-08-09 06:09:15
4
mome💍🎀 :
msomal Yuko noma maana kaimba akapelaaaa ila saluh kapata msaada WA vyomb vya mzki
2026-08-09 10:15:43
7
♻️❇️L£vo§~fr£💦🥶 :
team vitamini 🍁iyoo tujuane.hapa✅
2026-08-09 09:54:42
13
DALALI CHAMANZI 📿 :
We msomali 🔥
2026-08-09 05:08:40
25
bint J👆 :
anakoseaaaa namsamehe analudia yaleyale sjw nimarf au mwenyew ••••wanqap munasema mm nimeua😁
2026-08-09 08:05:51
10
AMANI• #PC#√*$€G :
vitamin huo moto mwingine
2026-08-09 06:03:26
29
stella :
Vitamin hajafanya kitu hapo ,anatumia nguvu sana
2026-08-09 05:02:57
83
recho912 :
uyo target yake wasanii waifanye challenge tu io nyimbo
2026-08-09 13:29:00
5
Happiness :
So kwa ubaya Ila Kama una sikio la music Saluh Fundi mnooo kwa msomali ongeza bidii kwenye key za juu maana inasikika kelele tuu
2026-08-09 05:02:28
90
To see more videos from user @vitaminmusicforever, please go to the Tikwm
homepage.