🎚️IBILISI AMEFUNGA UCHUMI WA WATU WENGI KUSHA AMELETA WATU WA KUKUTOA KWENYE IMANI FIKRA ZAKO ZIHAMIE KWENYE PESA TU AKUTOE KWA MUNGU AMEKUJA NA MBINU ZA KUFUNDISHA WATU AMBAZO SI ZA KIMUNGU, LENGO NI UBAKI NAYE HAPA DUNIANI UJE UISHIE NAYE MOTONI; Sikiliza ombea kilichoshikilia uchumi kiondolewe, wapo watu wameshikilia uchumi wako, haki yako unatakiwa kurudi kwa Mungu kwa toba na kugeuka ili Mungu awazuie wasile vyako na wengine awaondoe ili upate pesa kwa Utaratibu wa KIMUNGU, ili vitu visikutenge na Mungu, kwa sasa watu wengi wanasikiliza mafundisho ya watumishi ambao hawajengi maisha yao ya Kiroho nakuuliza ukifa leo utakwenda wapi?
-Ukiwa na pesa ukamtumikia Mungu unaambiwa tapeli, Ukiwa hauna pesa ukamtumikia Mungu unaambiwa unatafuta pesa kupitia kuhubiri, ibilisi hataki upate kitu cha KIMUNGU!
-Watumishi wengi hawafundishi kuhusu hali yako ya Kiroho na Kimwili kwa pamoja kama ilivyoandikwa kwenye 3YOHANA 1:2, bali utafundishwa ya Dunia TU na kupewa namna ya kufanikiwa hapo unakuwa uko pale mlimani kama alivyompandisha Yesu akamwambia amsujudie ili ampe Mali, wengi wamemezwa na mafundisho hayo! Kila siku angalia hali yako ya Kiroho ndiyo itangulie vya mwili vifuate ili visikuyumbishe ukamuacha Mungu ukapoa Kiroho!
2026-08-10 08:24:19
0
nausonimdemeka :
amina
2026-08-10 18:34:20
0
Suhaifat :
Hata ujaongea uongo mutumishi
2026-08-09 13:51:08
0
mwisa :
🥰🥰🥰
2026-08-09 13:05:19
0
Ndayiragije Damas :
🥰🥰🥰
2026-08-09 12:57:25
0
oldung'oret :
👍👍👍
2026-08-09 07:02:44
0
mamu :
🙏
2026-08-09 08:28:50
0
chris :
🥰
2026-08-10 13:54:08
0
To see more videos from user @embassy_of_god, please go to the Tikwm
homepage.