imagine wametoa coursework yangu ndo ya Chini kabsa
2026-08-09 19:59:41
0
Fraha Kameme🧢 :
the plane landed at -356km/hr
2026-08-09 18:39:20
1
benn4p :
Mimi niliwahi kufanya practal ya umeme o level ilikua nikutafuta volt ya betri ndogo wenzangu wakapata 1.4v mimi sasa volt nikapata 200000v. Mda mwalimu anagawa mitihani akasema kuna mtu katuonyesha kwamba betri inaweza washa shule nzima 😂😂😂😂
2026-08-10 05:24:54
4
Zaytun09🥰🦋 :
Unakuta wanabishania swali ambalo wewe hukuliona 🤣🤣🤣
2026-08-09 19:06:09
6
Chubbie🦋🌸 :
ilikuwa cyo shida zang🤣😅 tena hapo ukute jibu ni 7.4 me nina -87923.87 afu nakuza bizeee😅🤣😆🙌
2026-08-09 16:19:36
9
Roshny :
😅😂🙌iskukute hii
2026-08-09 16:41:26
2
aqsa💙 :
Nimepaliwaaa 😁😁😁
2026-08-09 16:42:54
2
prettymilly@06 :
ila zote ukikaribisha zinakuw 6🤣🤣
2026-08-09 14:49:32
5
DANNY COSMETICS ✍️ :
😂😂😂😂😂ndo maana xpendag kubishana nikitoka kwenye mitihan
2026-08-09 13:30:07
3
pheen💞💐 :
aseee n mbayaaa🤣🤣🤣🤣
2026-08-09 18:25:16
1
mannac :
Slope 1045😂💔ghaiii n mbaya
2026-08-09 23:47:36
1
Being me-. :
Ilkuwa noma sana 🤣🤣
2026-08-09 16:21:14
1
Gimmy moses2 :
😅😅
2026-08-09 16:37:09
0
Officialman_18tz :
nakumbuka lilikuwa swali la kutafuta probability ambayo haitakiwi kuzidi 0.5 me na marafiki zangu wawili tukaandika 2 sitosahau kile kipigo😂😂😂
2026-08-09 17:33:56
0
To see more videos from user @shaxibile, please go to the Tikwm
homepage.