@veriafya: Daktari Bingwa Bobezi wa Magonjwa ya Figo, Hospitali ya Taifa Muhimbili, Garvin Kweka anaeleza jinsi Matumizi makubwa ya Chumvi na Sukari huchangia kutokea kwa Magonjwa yasiyo ya Kuambukiza, pamoja na kuathiri afya ya Uzazi hasa kwa Wanaume. Ni muhimu kwa kila mtu kuzingatia tabia njema za kutunza afya, hasa kwenye kuchagua aina ya Mlo kwani huwa na mchango wa moja kwa moja katika kuathiri afya ya Mhusika. Video: Hub of Wisdom TV (H.W TV)

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: FR
Sunday 09 August 2026 06:52:52 GMT
15532
425
8
66

Music

Download

Comments

user5498058379941
Master :
Dr tunabeba vyote kwa sababu pesa za michango pia tunakuwa tumetoa nyingi.😁😁😁😁
2026-08-09 10:38:17
1
pastorypetro493
Pastory Petro :
Doh!!! bro uko vzr
2026-08-10 05:01:28
0
truthtrustbelieve
Tanzania Org 🇹🇿, (Funguka) :
But why ukienda hospital uduma ya kwanza mgonjwa lazima apewe drip 💧 ya salt water
2026-08-09 13:52:52
0
dennyo_store
Dennyo_store :
Tatizo michango tunatoa yote pia 😂😂
2026-08-09 08:12:31
3
emmanuelmadaha229
Emmanuel Madaha :
hdzabe
2026-08-09 20:12:22
0
rachel1_39
Rachel Massawe :
test ya wali na pilau tofautii 😂😂😂😂
2026-08-09 07:27:20
0
rachel1_39
Rachel Massawe :
😁😁😁
2026-08-09 07:26:33
0
chumvi.boy
Chumvi boy :
😳😳😳
2026-08-10 01:56:48
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About