@g_investment: Wakala usimwamini mteja 🧵

G➪🌟
G➪🌟
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 07:01:22 GMT
30609
1429
93
178

Music

Download

Comments

m.j.477
M.J42 :
Be blessed brother
2026-08-09 11:44:28
0
johana.nyerere
Johana Nyerere :
thanks brother
2026-08-09 15:23:52
0
mrmovies368
MR movies 🎬 :
asante
2026-08-09 09:04:51
0
pendoflav63
De_sissy :
sheria yangu ni 1. uliza jina bila jina situmi 2. ukihakiki jina ukarudi haijafika si shughuliki
2026-08-09 08:46:23
30
gulamkabuga
Gulam Kabuga :
Mimi natuma ila namwambia kabisa usirudi kusema haijafika
2026-08-09 08:03:30
15
anneth5139
Anneth😍 :
Mm sipend mtu anambie nikumkope ataniletea baadae yn saiv sitak namba za wateja
2026-08-09 07:22:52
2
cholo_artist..5
NASSOR :
labda sio mimi kwanza picha linaanza akinipa simu namwambia baki nayo mwenyewe nitajie namba
2026-08-09 13:57:18
3
ushindiz
UshindiJudith :
sifanyi kazi hiyo...ya kusoma namba ya mtu kwenye simu yake, ataki kutaja mwenyewe namba apite tu simuhudumii
2026-08-09 12:52:40
2
maggd65
Love me ❤️❤️ :
Asant
2026-08-09 07:40:18
5
advocatemwanga
Adv. Shabani Mwanga ⚖️ :
sifanyagi biashara chafu ivyo, kama hawezi kutaja mwenyewe asepe tuu asee 🙏🫡
2026-08-09 14:02:20
3
hasinah700
Hasinah dutch🧕🦋 :
Kama hajui jinaa usitume pesa 📌
2026-08-09 18:55:25
1
jeydermw5
Jeyder 🎙️ :
ILINIKUTA HIYO TULIFIKA MPAKA POLISI NA NILIBADIRIKA NIKASEMA JINA ALILIKUBALI KIUKWELI SIKULIPA
2026-08-09 09:08:45
3
mariym505
Ms mary🥰 :
asante
2026-08-09 09:09:33
0
yolly7202
Yolly :
ndio MAANA huwa kunazile karatasi ndogo mteja andike namba yake hapo harafu karatasi unabakinazo unaweka kwenye box kama ushaidi unampa anakopi yeye mwenyew
2026-08-09 09:31:17
3
vancy_mackoy
👣Vancy :
kweli kabisa jamaa imenikuta hiii walai
2026-08-09 07:13:41
4
user8088161282580
tonyy :
umenichap man leo nimetuma salio la buku ninamwambia jina ansema we tuma tu basi nkatuma anaangalia salio ni 0 basi tukagawana hasra jerojero😳
2026-08-09 20:49:53
0
g_investment
G➪🌟 :
hili nilishalielezea angalia video niliyo post hapo awali
2026-08-09 20:02:51
0
user6437396078584
Neema moran :
nashukulu unanifundisha sana
2026-08-09 20:01:25
0
michaelkaswahili82
MICHAEL 🇹🇿☑️ :
mm akisema hajui jina huwa namrudishia simu alafu namtajia namba aangalie Kama sijakosea
2026-08-09 07:13:50
1
user8287050418769
user8287050418769 :
asant
2026-08-09 18:54:16
0
fabianhamis
fabianhamis@ :
kaz ni kupiga photo2
2026-08-09 19:52:40
0
nyangwiza0
mj@double2 :
Mm cjui kama nitarudisha hata mia😁😁
2026-08-09 20:21:44
0
ilomo41
ilomo :
kaka g Kuna,mteja anakuja kutoa hela anakuomba no.ya wakala Kisha anajifanya anatoa alafu anakwambia mtandao inasumbua anaamua kuondoka,baada ya masaa Kama mawili(2), anakuja anasema ile hela kumbe ilitoka,ukiangalia miamala Yako unaukuta kweli huwo miamala,ila ni feki hii imekaaje kaka?
2026-08-09 19:10:31
0
raphaelkajembe2
DINHO :
Bro shukran san kila nikiona vdeo yako lazima inipe darasa usiache kutusaidia mawakala wote
2026-08-09 19:51:17
0
lavaboykinyambi
Lavaboy Kinyambi :
kaka umesema ila saiz mateja bila jina usitume
2026-08-09 20:52:44
0
To see more videos from user @g_investment, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About