@sultansalum59: HomesweetHome #blackmamba

DrBlackMamba☠️
DrBlackMamba☠️
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 07:32:38 GMT
25043
888
32
168

Music

Download

Comments

ramjane_jr_mpemba_boy
Ramjane khan pemba boy jr :
mess you home pemba yatu love you
2026-08-10 12:32:36
3
yussufrh4ol
yussufrh4ol :
Jaman wapemba wenzangu tujuane apa
2026-08-12 21:09:49
1
babliy627
Babliy :
love my Island 💯🥰
2026-08-12 06:23:18
0
jblokjmhsn
JBLACK :
supu bei gani
2026-08-10 09:19:53
0
user6369008292511
MSOMALY-PHD✨💦"'🕊️ :
Mashallah Pemba
2026-08-09 17:56:31
0
nadhifahamid386
Nadhifa Hamid :
nyumbani ni nyumbani
2026-08-11 05:27:39
1
robert_ludlum
robert_ludlum :
wimbo wa amu haujapendeza kwenye video ya pemba
2026-08-10 20:01:19
1
mpujin8
mpujin :
uhakika
2026-08-12 08:59:40
0
abuu.ayubu4
Abuu Ayubu :
ahsanta😂nikombali jamani
2026-08-10 04:54:24
0
ashaissa9915
Asha Issa :
mashaallah pemba yetu ni raha sanaaa
2026-08-09 20:29:19
0
alikhalfankhamis
makaya@ :
apo nusupu ya pweza unashushia na maji ya pemba water kuposa koo🥰🥰pemba oyee
2026-08-15 07:14:44
0
omasha63
Omasha63 :
wa mkoan tujuane jaman mtu ni kwao na huu wimbo umetulia Yani kama nipo gatini vile
2026-08-14 18:50:48
2
zungu.mohamed
Zungu Mohamed :
mungu atufanyie wepesi na Pemba yetu
2026-08-20 07:49:32
0
mabrouk.salum4
Mabrouk Salum :
hom sweeat hom nimepamiss nyumbani
2026-08-10 07:32:35
0
hunterhunted47
hunter 47 :
siku niposhuka boat tu mkoan nlipitishwa kwa uy Dada ap
2026-08-10 08:14:01
0
aghzam.tv
Aghzam tv m :
Nataman kufika mkoani pemba kupata supu pweza
2026-08-09 13:31:55
0
abdaty.mudy
@Abdaty $ mudy :
pemba yetu
2026-08-10 10:34:35
0
user7615902460586
zaa fran :
jmn mbn mnatutamanishaaa
2026-08-23 17:43:16
0
hussen.suleiman1
Hussen Suleiman :
Home
2026-08-09 14:09:41
0
user6520929981953
Ama :
Duh ilo supu lapwez harari🤣🤣🤣
2026-08-10 11:23:19
0
user60981586952095
VYAKALE MEDIA :
uwo mchuzi umenitowa mate
2026-08-10 17:36:03
0
aunt_naa1
aunt_naa1 :
dah hapo hutamani iyo lkn nikiangalia naona watu waume tu 😂😂 bac nasshindwa ila nikija nashsuka na bakuli langu naemda kuinywa chake 😁😁😁
2026-08-18 05:35:11
1
omarsalim330
omarsalim902 :
nimeikumbuka iyo supu ya pweza apo ya uyo mwana dada apo nikishuka meli lazima kwanza nipate bakuli moja apo mkowani
2026-08-11 10:45:51
0
user3219007086202
ayoub :
huko ndiko yanoko patikana marashi ya karafuu na Sio unguja hamna mkarafuu bhan
2026-08-10 11:46:07
0
To see more videos from user @sultansalum59, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About