@kambi_health: 🚨 DALILI HIZI 3 ZINAWEZA KUONYESHA ACID REFLUX YAKO INAKUSUMBUA ZAIDI! 🔥 Moto au kuungua kifuani 😣 Chakula/acid kurudi juu baada ya kula 🗣️ Koo kuwasha, kukwaruza au sauti kubadilika Usizipuuze dalili zinazojirudia mara kwa mara. Acid reflux inaweza kuathiri maisha yako ya kila siku na wakati mwingine kuleta madhara kwenye umio. 📲 Unataka kujua hatua za kuchukua? Wasiliana nami WhatsApp/Simu: +255795051414 #AcidReflux #AfyaYaTumbo #DaliliZaAcidReflux #Afya #Gastritis

KAMBI  HEALTH ||
KAMBI HEALTH ||
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 07:33:44 GMT
759
14
0
6

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @kambi_health, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About