hizo ni strategy zakuua taifa, yaan utengenez trick zakunyamazishawatu wakat nchi haiongozwa kwamujibu wa katiba na sheria?? saiv watu wameamka wanataka ukweli haki na uwajibikaji hizo habar za danganya toto mudawake umeisha
2026-08-09 14:29:35
11
vicentjoakim :
nimeikubali iyo 😂😂✌️✌️
2026-08-09 18:48:48
2
lizer1 :
Kuna watu wamezaliwa bhana
2026-08-09 16:54:42
4
mohamedy616 :
akili kubwa sana 🔥🔥🔥
2026-08-09 11:57:37
5
marry :
upo vizur
2026-08-09 15:29:10
1
Alifa stationary 😂🎁🍻💰 :
we Mzee ni noma sana
2026-08-09 08:20:00
4
Denice Laurent :
ofcoz wangecheza huu mchezo chadema ndo ingejifia mapema saana sasa walisahau hii chadema sahv wapo kidedea. siasa ni calculation kweli asee😂😂.
2026-08-09 13:50:00
5
Chakubuta Mwamba :
uwanja haukulingana. Uwanja ulingane
2026-08-09 16:16:47
1
Hassan Mayenje :
kaka sema ila kuna kupotea😏
2026-08-09 10:40:17
2
Ben Lashes & Nails Studio :
kazi ipo saiv ccm hawana dominance tena watu wameamka
2026-08-09 08:46:49
8
hidaya mjanja :
nikwel kabisa ila wana viburi nya madaraka hao viongoz
2026-08-09 07:58:16
7
user5207968823551 :
kuna sehemu angeambiwa watu wetu wamepote je? angewarudisha?
2026-08-09 14:30:08
1
David :
iyo ingekuwa rushwa ya uchaguzi tena ingereta shida balaa
2026-08-09 17:03:39
2
imma :
baba siku izi watanzania walisha shituka kabisa watu wanataka wizi uishe maendeleo yafanyike kulingana na rasilimali tulizo nazo
2026-08-09 19:54:43
1
Halima :
leo umeongèa
2026-08-09 19:51:20
0
ASHELI MWAKAPIMBA(FD) :
Leo sasa ndiyo umezungumza mambo ya msingi kweli kweli
2026-08-09 20:42:07
1
Ibrah.anyimike :
kwel akili.kubwa
2026-08-09 19:44:46
0
To see more videos from user @judge_roy, please go to the Tikwm
homepage.