@ramoyo_: 😭 #tiktoktanzania🇹🇿 #creatorsearchinsights #tiktokkenya🇰🇪

RAMOYO
RAMOYO
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 08:16:21 GMT
179125
9535
430
134

Music

Download

Comments

yusterdamas457
mimosa 🥰 :
kama hujawahi kupenda asiye kupenda huwezi muelewa rebecca
2026-08-09 10:27:45
326
user9363409043113
florah fofo florah :
juakali the best 👌 ❤️
2026-08-09 20:01:26
0
user8123185534626
🫀❤️‍🔥💯 :
pole ina uma uwiii
2026-08-09 17:40:29
0
user994353330815
mothlily :
when you learn to love yourself na uka jua value yako sio shida zako hizi
2026-08-09 15:22:10
0
ysherhamiss
——Aysher🦋🌸 :
Me namuelewaa sana Rebeca mapenz yanauma Jamani🙌🏻
2026-08-09 13:44:40
60
user9176951882008
rebeka mshani@@12 :
ka wajina
2026-08-09 14:50:02
0
niabannm1
Mum🥰 :
Mimi naumizwa ila sijawai toa chozi kabisa ila huwa najipa ubize tu 😂
2026-08-09 10:46:42
71
pinterest5233
Pinterest 🤍💬 :
rebecca 😳
2026-08-09 11:14:49
0
babie.reen8
Babie Reen 🤤 :
aah rebeka anajua bn
2026-08-09 11:08:21
2
wemakejo3
wemakejo :
mapenzi kama hayo sijawahi kumiliki😳
2026-08-09 15:41:18
16
officiallmarota7
clara@❤️💌 :
Mimi na Rebecca tupo hivi🤞
2026-08-09 15:45:46
17
minaha514
bad girl💝 :
sitaki kukumbuka aisee 🥺nililia week mzm ila ni ngumu kumsaau mpaka leo nashindwa kumsaau sielewi yani🥹
2026-08-09 17:56:23
15
nafakastore2
beens :
Kwakwel rebeca hapo bira Mungu hatoboi😢😔
2026-08-09 13:34:49
8
fantasy1994
Fantasy :
mimi nina mwanaume ngosha ananitesa mno nimeshindwa kumoveon nalia kila siku hataki hata kunisikia
2026-08-09 10:03:16
21
user37675392418422
@aishatz :
Mbon me sin moyo wa kumpenda Mtoto wa mtu ivo
2026-08-09 16:56:49
7
sogora.mwishe
Sogora Mwishe :
Rebecca kama angekuwa hawakai nyumba moja na Davis hiyo ingemsaidia kumsahau kinacho mtesa ni tendo la kumuona Davis muda wote !!
2026-08-09 14:48:10
6
witiemgonto
witie🤩 :
kulilia mapenzi tena mbele za watu apana kwa kweli🤣🤣
2026-08-09 18:29:20
7
reytorreslanda
reytorreslanda :
naliaga peke yangu lkn sio mbele za watu jamn
2026-08-09 18:18:52
5
zilpa200
zilpa pujaa :
sema Rebecca hapa alicheza jamani
2026-08-09 14:07:58
6
catherine.ignas
Catherine Ignas :
rebeka pole now ndy nimeanza kuelewa kwann unalia🥺🥺🥺
2026-08-09 08:37:06
26
melycess
melycess💋❤ :
Daah hii kitu isikie tu kwa watu
2026-08-09 10:06:45
8
user60956384428863
annagidion :
me nili move on baada ya miaka 6 juzi kaniita nikamwambia nimechoka na kazi mapenzi yanaishaga nimeamini
2026-08-09 14:21:13
5
_ema._jr
🍁Ema_dê_Jr🌴 :
2026-08-09 13:35:16
0
To see more videos from user @ramoyo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About