@tongtailequanghung_1997: #ảnhquanghungmasterd #ảnhquanghungmasterd #quanghungmasterd @Quang Hùng MasterD #xuhuonggggggggggggggggggggggggggggg

hoanqtranq_🐼
hoanqtranq_🐼
Open In TikTok:
Region: VN
Sunday 09 August 2026 08:39:05 GMT
40400
1193
127
440

Music

Download

Comments

mai.nguyn.th634
mai nguyễn :
cho mình xin anh
2026-11-24 10:55:23
1
fanquanghung42
🔥 Muzik bá khí 🔥 :
Cho mik xin ảnh aaa
2026-11-24 05:02:02
1
khanh.ly9680
Phone :
cho mik xin ảnh nhé
2026-11-15 03:39:33
1
atthihatdi42
s cũng đc :
cho mình xin ảnh nha
2026-10-16 13:23:48
1
n302451
mình cứ thế mà chill :
cho mình xin ảnh được ko ạ
2026-10-13 09:01:31
1
docmangatoondi
DH RC🐼🐟🦦🐑 :
cho xin ảnh nha
2026-10-25 13:08:58
1
connaymuonhocgioi
Thanh Hiền_muzik🐼 :
tus ơi chuyện là em muốn để hình nền đth là quang hùng em thì ko có nhiều xin tus vài tấm ạ
2026-09-26 23:53:21
1
yum.vy3
tntvy :
cho mik xin ảnh ạ
2026-11-17 03:42:51
1
nhungkaka14
𝗠𝗔𝗦𝗧𝗘𝗥𝗗 :
Cho mi xin vài ảnh đc không ạ
2026-11-18 15:00:02
1
phanhhh_iu
💓LQH🐼 :
đẹp trai
2026-10-22 11:26:33
1
phamkhoivu_2
🐟🐼™~𝓟𝓱𝓸𝓷𝓮~™🐍🐱 :
xin ảnh ạ
2026-09-20 05:13:24
1
ngc.vng80
mi mèo 🐈 :
Cho mik xin ảnh nha🥰
2026-09-05 08:12:33
1
muzikcuaqh21
🐜kiến nò:)) :
cho mik xin ảnh nhé
2026-11-15 11:32:19
1
qh_muzik__2008
Muzik :
cho mình xin ảnh nha
2026-09-07 01:50:49
1
baongoc070717
౨ৎNazy_Muzik౨ৎ :
iu
2026-08-25 14:00:14
1
bvy959
. :
2026-11-01 12:41:38
2
hoaian1343
.˚🦋⋆안은 아름답다 :
ỏ
2026-08-23 04:45:22
1
hong.hoa.ngc.lan2
timofei iu 😘😘 :
2026-10-15 10:49:03
1
cuniu290917
lồng đèn cheo tết 🧧 :
hehehe hơi nhiều
2026-10-08 06:56:36
1
qunh.chi.l.mnh
artis lỏ🎨 :
mik xin ảnh ak
2026-09-20 07:54:43
1
quang.hug.le.24
lee kwon hùm🐼🐼 :
cho tớ xin ảnh ạ
2026-09-05 04:54:15
1
p.long3110
L🖤 :
xinnn
2026-09-12 15:33:37
1
thuhanhneee
ơi hạnh đâyy? :
xinnn
2026-09-19 05:36:00
1
quanghunh_071097
ck là quán quân THSH :
cho mình xin ảnh nha
2026-10-09 11:28:35
1
taolatao057
A love you hùng :
cho minh xin ảnh
2026-08-30 12:59:38
1
To see more videos from user @tongtailequanghung_1997, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

#USIDHARAU: SIRI KUBWA YA MAJANI YA MTULA TULA (NDURA) - DAWA ILIYOSAHULIWA PORINI Watu wengi wanaiona porini wanapita tu, kumbe ndani yake kuna hazina kubwa ya afya. Karibu kila sehemu ya Mtula Tula inatibibu. Jina lake la kitaalamu ni Solanum incanum, na wazee wetu wameitumia kwa vizazi na vizazi. Katika Asili kila kinachokuzunguka kinaweza kuwa na faida kwako, kutegemea na jinsi unavyokipokea na kukitumia. Tumezoea kuiona Mtula Tula porini lakini wengi wetu hatujui faida zake zaidi na Leo nawaletea baadhi ya siri zake kuu. 1. HUONDOA SUMU YA KUNG'ATWA NA NYOKA Hii ni siri kubwa ya wazee wa zamani. Chuma majani ya Mtula Tula yatwange yalainike, chanja sehemu uliyong'atwa kidogo kisha kamulia maji ya majani ya Mtula Tula katika sehemu hiyo. Kusikia maumivu au kidonda kuvuta ni dalili za sumu kutoka. #MUHIMUSANA: Hii ni huduma ya kwanza ya kiasili tu. Baada ya hapo kimbilia hospitali haraka kupata chanjo na matibabu sahihi, usikae nyumbani. 2. MTOTO WA JICHO NA MIWASHO YA MACHO Andaa majani machanga sana ya Mtula Tula, yatwange vizuri kisha kwa kutumia pamba safi, pakaa nje ya kope za macho yako tu, si ndani ya jicho. Husaidia kupunguza muwasho na kutoa uchafu. 3. KIDONDA SUGU NA MAJERAHA Chukua majani ya Mtula Tula yatwange, kamulia maji yake kwenye kidonda kilichoshindikana kupona. Asili yake ina uwezo mkubwa wa kusafisha na kukaushisha kidonda haraka. 4. GESI, KIUNGULIA NA TUMBO KUJAA Watu wengi wanalia na gesi mwaka mzima. Chemsha majani machache ya Mtula Tula na unywe kikombe kimoja asubuhi kabla ya kula. Utajisikia tumbo likiwa jepesi. 5. VIDONDA VYA TUMBO (ULCER) Tengeneza juisi ya majani machanga ya Mtula Tula, changanya na asali kidogo, kunywa kwa siku 7 mfululizo asubuhi. Pumzika na vyakula vya pilipili wakati huo. 6. TATIZO LA KUHARISHA NA TUMBO KUHARIBIKA Chukua majani ya Mtula Tula yasage vizuri, kamua juisi yake, unywe kijiko kimoja tu. Usizidishe dozi, kwani ni dawa kali. 7. KINGA NA NGUVU YA MAMA MJAMZITO Hii ni siri ya bibi zetu. Chukua mzizi wa Mtula Tula uchemshe, unywe maji yake kidogo au chemsha uogee. Inasaidia mama kuwa na nguvu. Kama siku za kujifungua zimefika lakini bado hakuna dalili, wazee huandaa mzizi wa Mtula Tula vipande vidogo, wanaweka yai la kuku wa kienyeji, wanaweka maji na kuchemsha pamoja, kisha mama anakunywa supu hiyo. 8. MVUTO NA KUFUNGUA NUKSI Hii ndio wanayoitafuta wengi. Tumia majani ya Mtula Tula kuchemsha na maji yake ogea (Sio chooni, ogea nje). Pia andaa maua yake meupe, yakaushe juani, yasage kuwa unga, changanya kwenye mafuta yako ya kupaka (mafuta ya nazi ni mazuri zaidi) uwe unapaka usiku. 9. MBEGU ZINA NGUVU KUBWA Mbegu zake zikisagwa na kuchanganywa na mbegu za tikiti maji, huwa na faida kubwa ya kuongeza hamu na nguvu za kiume, na kurudisha ari ya mwili uliochoka. 10. FANGASI YA NGOZI NA KUCHAKUCHUA Hii ndio siri kubwa sana. Fangasi sugu ya mapajani, makwapani na sehemu za siri inayosumbua kwa miaka. Matumizi: Chuma majani ya Mtula Tula na matunda yake mabichi 2, twanga pamoja na chumvi kidogo ya mawe, kisha paka sehemu yenye fangasi asubuhi na jioni. Osha baada ya dakika 30. Fanya kwa siku 7. Pia chemsha majani yake ogea nayo. 12. KUONDOA MIKOSI, NUKISI NA KUFUNGUA NJIA Hii ndio inayowatafuta wengi. Kama umefanya kazi kila mahali hupati, pesa haikai, watu hawakubali, umeloga au umefungwa. #Matumizi: Chukua majani 7 ya Mtula Tula, maua yake meupe 7, na mzizi kidogo. Chemsha kwenye maji ya lita 5 usiku wa Jumanne au Ijumaa. Acha ipoe. Kesho yake asubuhi kabla ya kuongea na mtu, oga na maji hayo nje (sio chooni), ukiwa unaomba na kuongea unachotaka Mungu akufungulie. Usijifute taulo, vaa nguo nyeupe. Fanya hivyo mara 3 kwa mwezi. Wazee wanasema Mtula Tula una mwiba, na mwiba wake ndio unaochoma na kung'oa kila kitu kibaya. Tahadhari ya Utabibu: Mtula Tula ni dawa kali. Matunda yake mabichi ni sumu usiyale. Tumia majani na mizizi kwa kiasi kidogo kama nilivyoelekeza. Mama mjamzito, mtoto mdogo na mtu mwenye kisukari kikali asitumie bila kunishirikisha kwanza. #255784847953 #ustadhkhalifani

About