@ibn_abuu_idd: MKONO KWA MKONO MPAKA PEPONI😍 MAULID MADRASAT TADHAMUN MAGOMENI MAPIPA KWA KWA IBN SHEIKH HALAFU SHEIKH WALID IBN SHEIKH WALID ALHAD OMAR KAWAMBWA PONGWA😍 #tiktok #foryou #fy #viral #creatorsearchinsights
Yaani watu wa kamari spot pesaa ndio waliojazana dah mtihani kwel
2026-08-09 21:34:43
3
Abuu jumanne :
Tarimba mzee wa kuchezesha kamali
2026-08-09 16:17:03
4
Ayoun ❣️❣️ :
sheikh Abasi alikuja kutofokea xjamuona tena mpka leo😂😂😂😂😂😂😂 chezea wa Tz 🙌🙌sisi kipenz chetu ni sheikh waliid sheikh mwenye hekma anatupenda pia tunampenda anaongea na sisi kwa upole na hekma kma zote
2026-08-09 14:41:37
19
Muslim'Girl🤍 :
Masha Allah sheikh walid Allah azidi kukuweka🥰🥰
2026-08-09 16:40:55
3
jaylam05 :
Maashaallah
2026-08-09 10:18:15
3
rayanibrahim539 :
nampenda sana Walid kutoka Congo na mimi nadi andaa kuja Tanzania ku soma Dini inshallah
2026-08-09 09:50:11
6
lulunk28 :
Ile hekima imeja hapo,
2026-08-09 18:10:42
1
abuu DIZZERU :
namuona mbunge
2026-08-09 09:11:38
3
Halima Ahmed :
🥰
2026-08-09 09:35:58
2
mimi :
naona umekaa VIP
2026-08-09 10:37:06
1
kisesa00 :
Mashallah kipenzi chetu shekh wetuu
2026-08-09 10:33:47
2
man boy 12 :
I'm from Kenya bt pia mm nimeumia sn kwakweli ila nilazima tufahamu kuwa apangalo Mungu sisi hatuwezi kulipangua🙏
2026-08-09 16:53:47
1
Samiahusnath13 :
Embu tuishi na tabia za shekh waleed na Maaalimu othumani....🥰
huwa wananitoa stress kwa mawaidha na kuniongezea imani......anaye jua wap kwa kuwe ni bania hizi kaswada na mawaidha ya mashekh hawa waleed na othumani maalim anielekeze......
2026-08-14 06:01:32
1
Himdat Dumila Yunus :
mufti mtarajiwa In shaa Allah niliota ndoto yangu iwe kweli
2026-08-12 12:35:31
3
naah♥️ :
shekhe wetu🥰
2026-08-09 16:35:01
1
Sophia Msung'e :
Mashallah
2026-09-19 20:19:12
0
Hawy Tita :
Hii qaswida kaimba nani jamn
2026-09-19 17:00:30
0
BabyS :
Mashallah
2026-09-18 07:26:10
0
ummu nasra💜 :
naipenda sana jaman
2026-09-17 17:51:49
0
✨💞NuryHatun :
Nakupenda sana shekhe Walid 🥰🥰
2026-09-17 17:21:12
0
bechama- girl🌺 :
wooooow❤❤❤🙏
2026-09-15 16:15:23
0
rashdamy :
mashaallah
2026-08-09 13:46:36
0
To see more videos from user @ibn_abuu_idd, please go to the Tikwm
homepage.