@saluh_tz: Sio AI hii 🙌 Challenge me‼️‼️🙌 Kama najisifia jamani basi nionyesheni kwamba nimeimba vibayaa😂😂 hata nyie mnaona tulivyoihangaikiaa🙌😂😂 Haijabahatishwa hiyo imetengenezwaa 😂 #SINAHIYANA Link on my Bio👆✨ @its cukie dady alinipa beat mwanangu @chine ni shahidi kabisa🙌😂. . . . #saluh #huyelee #Love #newsong
SALUH 🐰
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 09:22:06 GMT
Music
Download
Comments
Chriss the magnificent 🔥🔥🔥 :
saluh is the goat of prime melody 🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂😂
2026-08-10 09:47:58
0
abbyguide :
kana sifa kakioma mademu kaone kaone 😂
2026-08-09 20:06:30
26
Hellen ku chalo :
hey I like it 🥰
2026-08-10 15:27:47
0
26 KIPAJI 🏆🥇 :
respect sana mwanetu 🔥🔥🔥🔥
2026-08-10 20:43:35
0
habby...💋 :
huyo yup0 bze anachat😁😁
2026-08-10 14:43:57
0
haslamsafi :
u need to be proud as ur are 🙏🙏🔥
2026-08-09 15:48:38
1
SBF :
voice Wonder copy 😂
2026-08-09 16:36:39
0
Broken Soul🚫📌 :
Hahah ili jamaa linapenda sifa ndo maan walilinyima ushindi 😅😅😅😅😅
2026-08-09 20:24:25
5
HIJA❤️😘 :
We ni bonge la msanii allah akufanyie wepesi ufike mbali inshallah 🙌🏻🙌🏻👌👌
2026-08-09 09:49:26
138
K.H.A.N 😈 :
Saluh unakitu 🔥🔥🔥
2026-08-09 11:01:57
0
tweny two :
kwahyo hizo verse ni kali😁😁
2026-08-09 17:19:58
6
THE ORIGINAL QUEEN💫🐐 :
Kipande kigumu😂😂😂 au sio🫠
2026-08-09 14:33:04
16
AMASHA MAJAA :
fanya challenge ya verse hiii ni 🔥🔥🔥
2026-08-09 11:09:26
7
🥰hasam cheyo💔saya cute🤩🤩 :
kiukweli hayupo wa kuimba kama wew wew ni mkali sana babaah wafunze kaka nakukibali sana jaman saluh wangu🌹🌹
2026-08-09 09:29:34
19
jaymoo :
ni kweli unaimba sana and I love you,ila sipendi mtu anaependa kujisifia fanya kitu kizur Acha kijisifie chaenyewe bas ba mpenz
2026-08-09 19:19:08
8
eliezely :
duuh! kweli mungu akuzidishie🔥
2026-08-09 09:27:29
7
Mr Noel🤣 :
jomba jomba suluhu usikubali kushikwa kichwa afadali ukosane na mtu ili ulinde unga wako mdogo wangu
2026-08-09 16:39:17
5
Eben :
j'attends cette chanson grand c'est trop cool ❤️
2026-08-09 21:17:55
1
£sther ernest💞🌹 :
10/10 nalip
2026-08-09 21:17:37
0
Ade_mbeya🦋💙😇 :
me napenda unavyo Sonya unasonya vizuri jaman😁❤️
2026-08-09 18:34:50
2
Cute Doro :
Me nakupendaga tu jmn cjui ni tamaa😂😂
2026-08-09 16:56:29
0
𝐬𝐨𝐮𝐥𝐞𝐲243🇨🇩 :
ukianza nama sifa nyingi utoenda mbali kuwampole ndo dawa
2026-08-09 20:18:27
3
wolper mdogo :
mtu pekee niliye mfollow kwenye hii dunia nia SALUH😅 af hata hanijui dah 😁😁
2026-08-09 21:57:48
1
To see more videos from user @saluh_tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.