@lutystar3: KILIO CHANGU Part 18 Dorian anaanza kuona maisha yakibadilika. Kwenye kazi, anapewa nafasi mpya ya cashier training… lakini moyoni bado anamsubiri Enjo. ❤️ Wakati huo huo, Enjo anazidi kuwa karibu na Brian, na maneno yake yanaanza kugusa sehemu ya moyo ambayo Dorian alikuwa akiichukulia kuwa yake. Je, Enjo ataamua kufuata moyo wake au kuachana na Dorian kabisa? 🔥 Njia zinatengana… lakini safari bado haijaisha. ▶️ Tazama Episode hii na utuambie: Unaamini Enjo bado anampenda Dorian? #creatorsearchinsights #africasafaritours #swahilimovies #africanstories #viralreels