@stunninglula: Swalatul Dhuha @Suaad Beauty & Style #quranhealing #fypシ゚ #tanzaniantiktok🇹🇿 #creatorsearchinsights #stara

Suaad Seif ❤️
Suaad Seif ❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 10:02:44 GMT
59682
10606
96
762

Music

Download

Comments

naasaloon
naah26 :
Leo nimeiswali bila sijakusikia wala kujua ni inaitwa dhuha na ni rakaa 2 na nimejikuta alfajir nimeiswali na kuomba niyatakayo na wallah Allah ameitikaa alhamdulillah
2026-08-09 12:11:33
89
latifashauri
Miss_tunaa ᥫ᭡ :
Nina ushuhuda na hii swala jm msipuuze
2026-08-14 18:42:05
18
rehemaally856
nikrah A ayub :
Wengi wawatu Africa hawapnd wala hawajali kuswali jmn Allah atuongoze
2026-08-09 13:32:50
11
aishamzeehamissi
aishamzeehamissi :
shukrani
2026-09-28 19:19:14
2
fadhilacollection1
fadhilacollection1 :
Unaweza swali saa mbili asubuh au saa nne?
2026-09-22 09:33:49
0
user73131001998720
mom mina 💦💦 :
naomba kuulza ridhik zipo nyingi km watoto ndoa mume afya je vyote unaluhusiwa kuomba na nia yake inatiwa vip na kuanzia saa moja inaruhusiwa kuswal
2026-08-09 10:27:42
4
cute_akha6
cute_akha :
ukitak kiswal rakaa 4 jee unaswal pa1 au umaswal 2 unatoa salamu hlf umaswal ten mbili
2026-08-11 19:36:52
3
user6161515436617
hammy :
mda gan unaswali sasa
2026-08-10 16:33:42
0
user95839869910062
user95839869910062 :
A, aleykum asubuhi ya saa ngapi
2026-08-23 19:36:26
0
salmaomari827
Salma Omari :
mm na shukuru saaaa
2026-09-26 11:00:51
0
shasaclassic1
ShasaClassic :
Amiin
2026-09-29 18:18:38
0
nasserrashford
Nasser Rashford :
Inshallah kheir Asante kwa ukumbusho wenye kheri na manufaaa kwa ujumla
2026-08-09 10:21:50
2
mwallymwinyi
mwally mwinyi🤍💋255🇹🇿 :
hiisalat dhuha una weza sali saa 2,3,4,5 hadi 6 ikiwa jua tayar limechomoza au ni ule muda tú wajua linapo jumoza?tafadhali anafaham anieleweshe
2026-08-14 19:56:50
0
hammysayd
zee :
aaamin
2026-09-27 18:30:36
0
user17781202590178
hawaa :
Ya Allah nakuomba uniwezeshe niache upuzi mwingi na niwe miongoni mwa wanaosimamisha swala kama hii
2026-08-29 19:55:23
4
perfumeparlorbackup
perfumeparlorbackup :
Shukrn kwa ukumbusho habbty🥰
2026-09-25 07:03:43
0
salim.ali962
Syd Salim al alawy :
shukran yaa ukhty kareem kutukumbsha kuswali swala ya dhuha, kwa ruhsa yako naongezea kidogo, dhuha ni swalal awwabina, ni swala ambazo walikuwa wakiswali mitume wote waliopita, na inaswaliwa, kwa idadi ndogo ni 2, idadi ya kati ni rakaa 4, na idadi kubwa ni rakaa 8, au kuna riwaya nyingine zinasema mpaka rakaa 12, na inaswaliwa baada ya kutoka jua kwa Danika 10 mpaka 15, na mwisho wake ni saa 5.30 mpka 5.45
2026-08-29 10:26:47
1
azizatamko
azizatamko :
shukuran my love
2026-08-09 10:38:57
0
fatmabby00
fatma bby001 :
shukran nimejifunza kitu ❤️
2026-09-16 20:19:35
0
zaitunisuleiman55
Zaituni Suleiman :
shukrani sana
2026-09-16 12:39:19
0
mariam.ibrahim543
Mariam 💗 :
Ameen
2026-09-21 05:02:51
0
malkia.rukia
malkia rukia :
MashaAllah
2026-10-01 12:41:42
0
sabrakitivo
Brinah collection 💕 :
shurkan jazira❤️❤️
2026-09-20 00:56:46
0
ummy.maher20
ummy maher :
naomba kujua una swali wa sangapi pleas
2026-09-17 08:44:47
0
saida.kuvuna
Saida kalori +254 🥰👌 :
Shukurni 🥰🥰
2026-08-09 10:56:08
0
To see more videos from user @stunninglula, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About