nilipimiwa na hiki kipimo nilichimba kidogo nifike kuzimu 😁😁😁😁
2026-08-14 04:09:04
4
imanyjohn1 :
Si kila mlio ni dhahab
2026-08-10 04:47:40
0
NIYEYE BRANDY⚪🎆🎇 :
dar ...ongela mdau japo nimefilisika Ila bado napenda kaz ya zahabu
2026-08-10 06:20:31
2
paii :
mdau huo ni uongo.
hiyo ni pin pointer haina uwezo wa umbali huo
2026-08-22 11:14:27
1
mwashiuy :
bei gan
2026-08-11 00:39:24
1
195629 :
Hahaha😂🤣
2026-08-09 19:28:14
0
SaddyOm :
wapi hapo mkuu, tupeane location mkuu
2026-08-10 07:04:56
0
Op Maina omar 🇹🇿 :
subirini kwanza tuvune mahindi
2026-08-10 06:06:31
0
KAGIMBO🤴 :
sio rudewa hii
2026-08-13 14:49:40
0
@$✓°kisaruzi04 :
Nikikumbuka zmn walikuja nyumbani wanamdanganya mzee et wanasema wanapima maji ili wachimbe kisima watupatie mssada wa maji kifaa kinalia hatuelewi ila maisha haya bc2
2026-08-15 11:48:57
0
Swekaa kasukaa :
Tulipima na hiki kidudeee tukaambiwa mizamo mitatu tu kuna mwamba tulipofika tu apo tukakutana na bahari ya Hindi atari sana
2026-08-14 16:30:13
0
Charmant Mashanda :
ivi nawaza nikaipata ikitu ae
2026-08-11 14:59:57
0
D nonga :
dhahabu zipo
2026-08-20 06:28:03
0
Twarisy Shaby :
mkuu icho kipimo nakipqtaje? tafathali
2026-08-09 19:04:15
0
Jaruu Tz :
mkuu hii ni pin pointer ya kampuni gani
2026-08-09 18:08:32
0
Embroce..JR⚽⚽ :
hicho kifaa nakipataje
2026-08-09 20:31:05
0
magesa chips supply :
2026-08-09 21:05:36
0
Peter Toshi ♉️ :
Kiongozi hicho kipimo napataje
2026-08-09 17:24:57
0
Travis :
nani mwingine ameona Vile mkulima amepanda mbegu kumi kwa kila shimo😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-11 10:45:32
1
mining stories with Baraka :
Sasa jiloge.
2026-08-09 18:35:44
0
J Bugar :
ukipata dhahabu niite mbwa😏
2026-08-09 21:42:12
0
siwa :
mwamba kuepo sio shida shida Niku pata ppm
2026-08-09 19:59:50
0
Hanslucky :
Ng’oa mahindi hayo babu 😂
2026-08-10 18:08:49
0
bushmastaa :
Jamaa kapanfa maindi
2026-08-10 13:38:27
0
OskideTz3 :
maongo sana aya jamaa dawa yao ni kua nao shea sasa
2026-08-10 16:42:34
0
To see more videos from user @thenextbillionaire25, please go to the Tikwm
homepage.