@sulesh_2025: FUNZO; Usidharau wema mdogo unaoufanya kwa mtu. Huenda kile unachokiona ni kidogo kwako, kwa Allah kikawa kikubwa sana. 🙌💗 Mzee alikuwa na kidogo, lakini hakusita kumsaidia aliyedhaniwa kuwa mhitaji. Mwisho wake, wema wake ukamrudia kwa namna ambayo hakuitarajia. Tujifunze kutoa kwa moyo, kusaidia bila kutarajia malipo, na kutenda mema kwa ajili ya Allah. Kwa hakika, wema haupotei. 💗🙌 #IslamicReminder #Sadaka #MashaAllah #SwahiliTikTok #FYPシ
Yaarabby Mfanyie wepesi katika Rizki zake Mzee huyu na umjaalie Husnul Khaatimah
2026-08-09 19:47:32
18
mamy :
mzee wetu.kafanya wema mdogo lakini Allah kampa zaidi ya alichokitoa
2026-08-09 10:48:25
31
Shela Mohamed :
yan uyu mzee kaniliz nimekumbuka mbal sana
2026-08-09 12:18:49
40
Black Beauty..🦋 :
Huwa najisikia vibaya kuona watu wakihangaika n maisha japo n mimi nimiongoni mwa hao wanaohangaika n maisha mungu tufungulie njia 🤲🏻🤲🏻zifanye kuwa nyepes 🤲🏻🤲🏻☺️☺️🥹
2026-08-09 18:05:30
12
maryamjuma852 :
inasikitisha sana kuona mtu mzima anahangaika na maisha maskin Allah tujalie riski kwa wepesi
2026-08-09 18:59:40
17
Yusra Mamu :
😭😭😭 loho imeniuma sana yarabi mpe kivuli na amali ya maisha yake
2026-08-09 19:44:19
8
Oman :
jaman asom2 anamungu mpaka machozi yamenitoka
2026-08-09 10:52:53
13
Ngati Pura :
Mashaallah 🙏
2026-08-09 11:04:03
6
my only one💕 :
mwenzenu nikiona iv wallah nahis kama nimzee wang eeh yarrab nakuomba wajaalie wazee.wetu Kila lakheri mm nakua naumia sana mwenzenu
2026-08-09 18:48:08
9
canal muammar :
hizi ndio video za kutazama maana machozi yananitoka bila kulia kwa uchungu wa iman
2026-08-09 12:08:47
11
Elimu :
mola type subra
2026-08-09 12:01:20
1
fatma :
yaarabi nakuomba unipe moyo wakutoa kwa wengine
2026-08-09 12:09:05
8
Mama Jingi :
ni zuri sana kuwsaidia watuwsiojiweza ila na huku mikoani wilayani na vijijini wapo tuwasaidie
2026-08-09 11:21:25
2
Faiza Zaharan :
mashallah Allah akujaalie kher na barka kdogo ulicho ktoa Allah akulipe wema dunian na akhera🤲
2026-08-09 20:58:51
2
winnie :
kwaiyo unaongea na waislam pekeyao au
2026-08-09 13:35:42
1
araphat zumba :
we dogo mbona unataka kuniliza apa mi Sina mpango wakulia Leo da