mdogowangu ludi nyumbani maana ushazuzuka utapona tukikuwai😂😂
2026-08-09 13:32:40
2
🪖MAN OF THE YEAR🦅 :
Moyo wangu Ana U run utadhan mashine🙌🏼
2026-08-09 12:19:13
4
🎀 phia officially 💎 :
mwenzenu yananizuzua nampenda nasitak kumuacha😥😥
2026-08-09 10:46:27
3
Norahdee 🍎 :
utafika mbal sana jaman nyimbo zako zinatukosha wengi broo
2026-08-09 14:50:55
1
Yolnac :
unajua 🥰🥰🥰
2026-08-09 15:27:16
1
hemedykasimu :
ila we jamaaa kwa verse tuu shikamoo
2026-08-09 16:27:09
2
madaboe :
vitamini 🔥
2026-08-09 11:39:08
1
RAMMY BIZZ🤘🏼💥 :
kaka nimekuchapa hii
2026-08-09 17:25:44
1
malouda :
Nyimbo kali msani mkali 🔥🔥🔥
2026-08-09 10:35:39
2
Gee Melanin🎤🥰 :
yani hii nyimbo jana ilinipa vibe nikaamka saa6 usiku nikawa naisikiliza nikajikuta naosha vyombo nadeki ndani tena kwa amani kabisa utadhani ninamahusiano vile😁👏😂👏👏👏
2026-08-09 15:42:55
1
tonywel504 :
nakubali🤣 mpya iyo cliv
2026-08-09 12:09:03
1
Mrs WANTED TZ566 :
mh🥰🥰🥰🫶
2026-08-09 10:37:04
1
user9301869626353 :
Dah Hii nyimb noma sn nikisikiliz nakumbuk n maumivu niliopitia natamn nilie😥😔💯💯🔥
2026-08-10 08:28:05
0
To see more videos from user @clivxgang, please go to the Tikwm
homepage.