@moseswakipemba:

DIRECTOR WAKIPEMBA JR 🎬🇹🇿
DIRECTOR WAKIPEMBA JR 🎬🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 10:33:51 GMT
54260
3066
64
155

Music

Download

Comments

9999mudathir
مدثر🇹🇿🥷 :
😁next mzee
2026-08-09 11:38:08
1
mahylmud
Mudy-momo :
Bro zingatiya comments za mashabiki wako
2026-08-09 19:23:14
0
sadikijilovip004
V.I.P :
hio sio content broo unaumia apo wallai
2026-08-09 20:16:19
1
khamismohd457
Tambwe :
kijana kwenye maswala ya dini wacheni mzaha
2026-08-09 12:23:35
20
majanitz2
Majani Tanzania one :
Inna lillah waina ilaih rajiuuun,,,,,
2026-08-09 13:18:49
11
user6132152292581
yusuph :
stan hela zina mipaka kaka nasio helatu kilakitu kinamipaka hatakula kuna mipaka
2026-08-09 14:22:58
8
user2715708636073
user dida kibz :
2026-08-09 18:05:04
2
halimasami5
Halima Sami :
mnajua maana ya allahuakbar? cjapenda kwakwel...nikama mnamdhihaki allah...leo cjapenda kwakweli
2026-08-09 17:40:00
4
paul_scalano
Poh Adui, Mnyama :
🤣🤣naenda kumwambia kiongozi wako
2026-08-09 15:54:53
2
minahmohammed793
Minah Mohammed :
😂😂😂😂😂Jamaniii inatosha
2026-08-09 11:35:46
1
user9274631504260
st£re0 :
ss mbn mnaswal wot 🤣🤣🤣
2026-08-09 12:22:06
1
unclederick0
unclederick0 :
HPO WADAU MUMEZINGUA
2026-08-09 17:46:06
0
user7365079754458ally
user7365079754458Maryam :
hii inamafunzo stan nae kaswali mwanzo mpaka mwisho 🤣
2026-08-09 21:13:42
0
user6300307452334
user6300307452334 :
kesho kutwa Allah ata tujalia tutakua waisilam
2026-08-09 13:34:07
2
chalhipaka.nannyo
Chalhipaka Nannyoho King :
hinna Lilah wahina Lilah rajuin 😭
2026-08-09 19:39:00
0
mkoloni.aw
Mkoloni AW :
Hiyo mbn anapata 😂😂
2026-08-09 17:00:35
0
user8793366883856
Annathory z :
kitu ambacho hamuelewi hii no content na hutokea kwawatu hivi vitu bora leo tujifunze hapa
2026-08-09 14:05:39
1
user8085994719099n
mackx :
tulia www
2026-08-09 11:45:47
0
jks8006952579147
Myrah SK8006952579147 :
Huku ulipofika sio kuzuri
2026-08-09 13:34:19
2
allymohammedi611
@Black :
masihara
2026-08-09 15:14:44
0
hudaa736
mili boy :
subhanallah
2026-08-09 18:49:47
0
mr.move38
Mr MOVE🟢🇱🇷 :
unaferi mdogo etu
2026-08-09 15:24:06
0
oliviakalinga545
oliviakalinga545 :
mbona na ye stani kaswali simumeona kaanza nao mpaka mwisho
2026-08-09 21:07:58
0
mam_.happiness
raymam :
kaka umeharib sjapend at kidgo usingilie katk mamb ya dini kam ivo content lkn ziwe na mipika musifik kukashif ibada za watu
2026-08-09 16:43:33
1
user946007127357naldo
ABUU NALDO :
ifike mahali dini ipewe HESHIMA
2026-08-09 13:20:39
5
To see more videos from user @moseswakipemba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About