@mt.seciliamakubur: SAFARI MOJA Na; B.Mukasa. Wimbo wa mwisho Dominika ya kumi na nane (19) ya mwaka A wa kanisa kutoka Parokia ya Mwenyeheri Anuarite Makuburi. Asante kwa kusali nasi Dominika ya leo 🙏 #kms_makuburi #kmsmdigital #kwayakatolikitanzania #mkatoliki