@mr_everythingzt: ASANTE MWANZA Huu muziki umetoka mbali sana! Miaka 30 ya Bongo Flava ni historia, ni safari, ni kumbukumbu na ni heshima kwa kila aliyekuwa sehemu ya safari hii. Mwanza mmeandika historia nyingine kubwa : Bongo Flava mpaka kizazı kijacho