@roadi.autos: Databases part 2#informationtechnology #fyp #tanzaniatiktok #viral #blowthisup #softwareengineer #Roadiautos #computerscienceintanzania #database #SQL #java #Tech #fypシ゚viral #roadi

roadi
roadi
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 11:36:01 GMT
34759
2240
117
120

Music

Download

Comments

barbbapapa
user142820496915 :
Programmers will soon all be replaced by AI, imeanza kidogo. But AI is learning at an exponential rate and agents will replace kazi zote za programmers ndani ya mwaka huu. Jiandaeni kubadili profession mapema kabla upepo haujawachukua. Software engineers wanaweza ku survive kidogo lakini pia watabaki kufanya high-level issues only, coding workload yote itachukuliwa na AI.
2026-08-10 13:35:17
4
mohan_fx01
Mr mohan :
am accountant but now am developer thanks AI 😊
2026-08-11 10:32:17
18
rashidhassan695
Rashid Hassan :
wasomi ntawaua😂😂... very interesting 💪
2026-08-09 21:07:15
2
n.edy_
n.edy_ :
So let’s say nataka nistart a financial firm ambayo itaprovide various services ambazo mwisho wa siku i’ll have to manage investor infos, transactions, fund performance, returns and reporting efficiently ko kwa data management perspective or whatever 😂 una recommend data base management system gani for my firm ideally 😂
2026-08-09 15:04:28
0
eng.macha
Eng Macha :
I another thing is that the governments system uses most spring boot and laver
2026-08-21 13:44:12
1
lennyofficial05
lennyofficial05 :
wasomi wababaishaji wa IT utawaua kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-11 08:08:26
2
abdulmagana.ai
Abdul Magana :
RAHA SANA UKIWA UNAJUA UNACHOZUNGUMZA🔥
2026-08-12 19:41:59
4
albisness_tz
AlbisnessTz🙏🏆🔥💰🍁 :
Vibe Coders woteh wanaskia kma unaongea hivi "jdirjpwbdjfki9ej2ko3odbbxkkk"😅😅😅😅🤔🙏🫠🙄💀😅
2026-08-11 08:19:21
0
antachable_kid
Otty :
Point of correction serikalini sana hutumia mifumo ya java na .Net inafuata
2026-08-09 12:11:29
2
bm.dsgn
bm design :
Sipo kwenye industry ya IT ila na appreciate the way uko passionate na kazi yako👏
2026-08-11 09:11:43
1
_blvckmontana
_blvck :
what about flask
2026-08-09 19:41:15
0
jack.ma6983
Jack Ma :
Vp kuhusu API na Mcp mbona hajaziongeleaa
2026-08-11 18:25:09
0
francissteven15
Francho Das :
its not required that all backend development should be built on a framework and you dont even need ORM to communicate to DB for example java has jdbc api which allows both ends to communicate
2026-08-11 11:30:08
0
michael.kamugisha
michael. :
Nitakutafuta kaka unitengeneeze website
2026-08-09 12:26:55
0
incredible_rann
Adn studio :
kk ebhu ingia deep eneo hili la DB.. maan hizi tutor za English ni za moto..
2026-08-09 19:00:51
0
hassan.mickidadijr
Hassan Mickidadi Jr. :
Sasa hiyo unaezungumza kwa watu IT sio kwa watu wengine .Sasa kama unazungumza na kitu kwa watu ambao wanajua aileti maana .zungumza kwa manufaa ya wote .
2026-08-11 21:07:40
0
__pan__10
__Pan__10 :
Ubaya wa mambo nikikaa na keyboard naanza kuchanganyikiwa 😂😂
2026-08-10 05:41:33
0
pydy02
pydy02 :
Dadekiii 👌💪💪💪
2026-08-09 17:59:07
0
jumaissa861
Tsoi :
PHP Laravel hatumik serikalin au ?
2026-08-09 21:25:20
1
innosgram
innosgram :
Wasomi hiii
2026-08-11 15:28:54
2
hadidyboymusic_tz
HadidyBoyMusic_tz :
😂😂Naenjoy hizi content make more
2026-08-09 18:35:25
1
guspecialcrypto
Digital marketing :
Na kubali kaka
2026-08-11 17:12:39
1
jack.ma6983
Jack Ma :
Broo uwe lecture wetuu tiktok
2026-08-11 18:24:36
1
nyoosha_tech
Nyoosha Tech :
ORM ni unyama sana, database management na migrations zinakuwa rahisi kuliko kutumia pure SQL
2026-08-09 12:38:51
1
hamadkhamis01
MPhil :
👍
2026-08-09 11:43:44
1
To see more videos from user @roadi.autos, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About