@nyimbo.za.zamani: penye ridhiki

Seth tweve
Seth tweve
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 11:36:47 GMT
87399
5795
126
200

Music

Download

Comments

linahmsalila
linah :
my favorite song 🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥
2026-08-09 18:26:58
46
user2376639403383
groly mwaitela :
kitambo sana huu wimbo
2026-08-10 16:39:25
6
shanny.mwasengo
Shanny Mwasengo :
hiii nyimbo nikisikia tu moyo wangu unakuwa na aman ubalikiwe sana mtumishi wa Mungu matha
2026-08-10 03:58:38
21
user8626230487792
Dogo stizo :
Mungu akipanga. akuna wa kupinga
2026-08-10 19:04:51
0
clemantine.moise
Clemantine Moise :
amen 🙏🙏
2026-08-10 18:10:32
0
marianguru3
marry paul :
ubarikiwe Sanaa
2026-08-10 12:31:40
0
sehewa.fungeni5
Sehewa Fungeni :
Ni kweri Kila mtu na riziki yake
2026-08-10 13:19:11
0
pretty.vee319
pretty vee🥰😘 :
baraka ziwe juu yako ktkt jina ra yesu
2026-08-10 12:32:19
0
isackadriano6
mwandishi talent power :
piga ya hizi nyimbo zilikuwa hazkosi harusini kuanzia mida y saa 6 mchana mmeshapanga viti mnasubiria maharusi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-10 20:01:09
0
deemomki07_urembopoint
𝕝𝕒𝕤𝕥 𝕓𝕠𝕣𝕟🥷🌹 :
hiii nyimbo hacha kuihifadhi.jamnnnn mana nampenda huyu dada
2026-08-10 15:36:14
0
happy.juliu
mis fulaha :
waoooo penda sana iinyimbo
2026-08-10 11:49:49
0
mwakasilena14
mammymwaka :
amen
2026-08-10 08:33:04
0
agnes.jonas55
Agnes Jonas :
Yan nikisikiliza huu wimbo huwa na barkiwa sana
2026-08-10 19:02:44
0
user9623147450499
Eunice lenge :
amen amen amen amen amen amen
2026-08-10 08:33:34
0
gracepeter378
Grace Peter :
penda sna huu wimbo mm
2026-08-10 08:59:19
0
user5467773303262
🦋Miss momo🦋🦋 :
ila jaman mbele ya pesa hakuna mwembamba😁😁
2026-08-10 17:26:03
0
nipha625
nipha🦋❤️ :
🥰🥰
2026-08-10 07:17:24
0
dcoco49
Dorah coco🔥🥰 :
zamani nlikua naimba tu saiv ndo naelewa😳
2026-08-10 10:37:56
1
user37497750139
monicka maile :
jina la wimbo tafathali
2026-08-10 15:38:45
0
ugabwa6
ugabwa :
penye ridhiki hapakosi vitina 🔥🔥🤝🤝
2026-08-10 10:30:09
0
To see more videos from user @nyimbo.za.zamani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About