Haina haja ya kumsumbua Mh. Mkuu wa mkoa, Yesu mwenyewe anaona hayo yote na atashughulikia ipasawavyo, ni vile tu Yesu hawai na wala hachelewi, na pia kwa hao watoto wa mitaani jua Yesu humpa mtihani mja wake akijua anaweza kumudu, kwahiyo technically hao watoto wa mitaani wala hawateseki ni Yesu amepanga iwe hivo, Bwana Yesu asifiwe sana!
2026-08-10 05:20:05
4
Zakayo Mlawa :
umeongea pointi kubwa sana kaka wanakuja kutapeliwa huku na matapeli
2026-08-10 05:10:46
8
sam :
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
2026-08-09 17:25:32
28
UFO :
kwenye swala la imani hakuna kitu kinaitwa kuteseka
2026-08-10 05:17:16
4
twiga# :
kwani aliwaita au wamekuja wenyew 😅😅😅
2026-08-10 04:30:52
3
@am maggie 🤞 :
baba Asante kuwasemea wasio naakiji
2026-08-10 01:31:16
14
Chiefu magige :
mbeya wametajwa uku
2026-08-10 04:58:21
2
Aswile Mwambage :
mwamposa ni rafiki yao unazani watamfanya nini.
lkn pia na watu wenyewe kwanini hawatumii akili?
2026-08-09 20:26:38
24
David james David james :
kwanin utaje mbeya wew
2026-08-10 04:23:30
2
⚖️ :
sahihi
2026-08-10 04:20:00
2
jumong :
we unajuwaje kama wanateseka
2026-08-10 03:35:27
4
T—Bagg :
Alooo kweli
2026-08-10 00:51:25
3
GTS🙏🙏 :
Mimi ni mgeni sijui, Ivi niulize swali wale Watu wanao enda sehemu yeyote ya ibada au yenye kutafuta UPONYAJI nk. Watu wale wanalazimishwaga kwenda huko makanisana au wanaenda wenyewe kwa matakwa yao?
2026-08-10 05:30:36
1
KENYA CAPITO :
bibi yangu alihuza shamba
2026-08-10 04:50:17
1
daniel :
KWAN NAN ALIWAMBIA WAJE
2026-08-10 03:58:02
2
big horn :
kwani tatizo lako nininihasa
2026-08-09 17:24:00
4
abilius06 :
watu wangu huangamia kwa kukosa maarifa,
2026-08-09 18:39:49
8
Simeon John :
we ndo msemaji wao hongela
2026-08-09 19:25:25
5
rehemajohnsambula :
kwani wameitwa si uvivu wao wa kuomba hebu mwache mkuu wetu ana mambo mengi ya kufanya kaka fanya yako hao watu ni mambo yso binafs
2026-08-09 23:48:42
4
steve.parker16 :
Mzee upo sahihi kbsaaaa
2026-08-09 20:36:34
4
peter Machoga :
Aliyewatuma nani
2026-08-09 20:23:46
2
brighton :
umesema ukweli
2026-08-09 17:42:26
3
makasi :
Kweli watu wanataka kupona.
2026-08-09 21:16:37
3
Glory Komu :
mbona huyo mkuu wa mkoa ni Familia yetu huko kwetu kwa mwamposa
2026-08-10 06:32:09
1
Brilly Jr :
nani kawatuma na serikali inahusikaje apo😅
2026-08-10 01:20:20
2
To see more videos from user @user6676273239920, please go to the Tikwm
homepage.