tuangalie pande zote mbili hao walikuwa wanapiga mawe gari Sasa kama walitaka wamzuru dereva na waibe vitu madereva wa maroli njiani wanakumbana na changamoto nyingi za maharamia tuwaombee tu
2026-08-09 17:22:36
16
Asher joshua :
huo wema me sina 😂 malehemu alikuwa jeuri😅😅
2026-08-09 18:19:03
17
Asha Juma :
Haiwezi kuwa Tanzania
2026-08-10 07:30:27
1
paulongussa1 :
daah dunia imeisha.
2026-08-10 07:34:59
1
charlotte :
duu watu atuna ubinadamu
2026-08-09 13:01:06
9
mzunguofficial1 :
hili limeumza san😭😭😭😭
2026-08-09 13:16:25
9
hanna :
dah watu hawana huruma aisee,
2026-08-09 13:00:07
11
Assa George :
sasa alikua ana wezaje kufanya ivo kwenye hiyo gari marehemu nae
2026-08-09 21:24:25
1
Juliana masalu :
ni nchi gani hii
2026-08-09 13:35:47
3
Agatha felix :
sasa na yeye anazuiaje lori jmn
2026-08-10 08:31:29
0
P❤️❤️ :
ila jamani😭😭😭😭😭
2026-08-09 17:33:27
2
Zaki Mideko :
Jaman😭😭
2026-08-09 13:17:09
3
fetty 💕 :
mungu wangu
2026-08-09 13:21:02
1
@sashawissotz :
Dunia inaenda mwisho aisee sio kwa hili 😭😭😭
2026-08-09 17:31:27
4
RachelClothing 🌸 :
Jamn jamn makusudi kabisa hyo
2026-08-09 13:24:14
7
K G ™️4️⃣5️⃣ .............. :
huruma so malezi
2026-08-09 13:51:53
0
Zaitun Hamis :
me mpaka maini yamecheza et yaan nimeskia kabisa paaaa amebast jamani daaah😭😭😭
2026-08-09 14:01:35
3
liliy :
Yaan sasa iv hatuogopi wanyama bali tunaogopa watu muone huyo dereva alivyomgonga huyo mtu jamanii
2026-08-09 13:49:53
4
Revolution :
nimesikitik ata ch kusema cna
2026-08-09 12:54:08
2
shumi :
Ame mvuruga kabisa ...mungu tusaidie ..
2026-08-09 19:12:00
1
Jasinta Jackson :
eeee munguuuuiu uwiiiii nirehem mm
2026-08-09 17:42:16
1
To see more videos from user @global_trend_tz, please go to the Tikwm
homepage.