Si huwa wanatucheka na kutusakama sisi wasukuma ni washamba sasaivi Hawaii vile tunaenda kuoa mtoto wa raisi 👌🏽😜oya nyie kila kitu hapa duniani kipe muda Bhasukuma tolebhachangamfu🥰
2026-08-09 17:15:18
30
Evelina Laurian :
kweli dada
2026-08-10 07:18:08
2
Nesta baton :
kweli kabisa
2026-08-10 07:07:47
2
Anna :
ukweli na ruto nimuzazi sana
2026-08-10 05:17:56
2
Ramson :
sio familia duni, isipokuwa ni maisha ya kufanya kazi, usukumani maisha ndio hayo, usichukulie kufanya za kuchungu mifugo ni uduni, hayo ndo maisha ya ukweli.
2026-08-09 20:25:29
11
Dee Tz :
Mungu akitaka kukuinua anakuinua kwa kiwango cha juu
2026-08-09 14:49:58
6
jonley :
thanks much mummy am a Kenyan but I really love your content
2026-08-09 14:51:02
2
Marcom Abdallah :
mntuita washamba
2026-08-09 20:18:41
2
alberttina25 :
Mama yangu Mungu akupatie maisha marefu
2026-08-10 07:34:42
1
Dorin mnywiga :
Bora hata wali mkumbuka kumpeleka shule Kuna Mimi niliambiwa niache shule niendelee kuchunga ng'ombe 😢mmmh ila wanadam
2026-08-09 18:23:15
2
Anania :
Umenikosea sana kuzuia kuchukua video yako nimpostie mtoto wangu!🤔
2026-08-09 20:14:44
1
leobela'x :
Uhakika da angu
2026-08-09 14:01:48
2
THANKS PRODUCTS :
ndio kweli kabisa
2026-08-09 18:50:53
1
mr.Evans :
wasukuka ni wapambanaji sana ,hata mm nilikatazwa shule ila nikakaza form 4 nikasoma kwa vibarua na nikamaliza ,form six nikakaza kwa kibarua nikamaliza nikafika chuo ... bila kukaza nisingefika chuo ,elimu ni nzuri sana ,ila hasa kwa sisi wasukuma ni wapambanaji sana
2026-08-09 20:01:15
2
GOLDEN CALM 🌴 🎄 :
Mungu aliye mpa msukuma mke kenya na mimi anipe uganda 🇺🇬
2026-08-10 06:57:49
0
Haji Lubwaza :
Ongea basi unaelezea sana
2026-08-09 19:02:37
1
hollo malila :
kila mtu na bahat yake dada maishan aijakrishi utapitia njiangan Ili ufanikiwe
2026-08-09 15:46:58
1
Donatus Bernard Nyamizi :
umeolewa
2026-08-10 04:58:54
0
Baby nanah :
Mungu akiamua kukuweka mahar sahihi na kukuinua hawezi kukuacha yani!!!
2026-08-10 11:32:35
0
j lema :
endeleaaa kusimulia maishaa ya wenzako
2026-08-10 06:59:00
0
Sproza collection❤️ :
hivii dada unajua bei za ngombe mtu ngombe 5000 ni familia duni😁😁😁
2026-08-09 20:46:11
0
Moomaspectacle :
kuchunga ng'ombe sio maisha duni
2026-08-10 03:47:48
0
jTMaker :
airtime wanapewa machawa
2026-08-09 18:28:03
0
To see more videos from user @dianalinga, please go to the Tikwm
homepage.