@iantezcoe: 😂😂🙌 #foryoupage #kenyantiktok🇰🇪

🥷G.o.a.t✧👑
🥷G.o.a.t✧👑
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 09 August 2026 12:28:29 GMT
7726
579
33
74

Music

Download

Comments

divinahbonareri87
divinahbonareri87diph :
sasa mtu usikule waaaaah
2026-08-09 20:47:07
3
alphonceoluochmbu
Alphonce oluoch Mbuya :
🤣🤣🤣🤣🤣 shida iko wapi sasa
2026-08-11 18:51:24
0
gorreti3227
gorreti3227 :
sio lazima
2026-08-11 18:24:53
0
yasinjonathan
Yasin Jonathan :
eee hata Mimi nina gari na sina nyumba
2026-08-11 07:59:04
0
.mr.j06
@ mr.jóńťéě💯✔ :
jirani wangu mwingine anakula ,, food na Hana toilet 🤣🤣
2026-08-11 18:00:05
0
lynnmary08
lynnmary08 :
😂😂
2026-08-10 05:58:31
1
de.mallya
De Mallya :
hahahaha
2026-08-11 12:52:12
0
user85947984000022
Adame Alfred :
😄😄😃hii lazima ni comment ploti yetu mzima ni mmi niko na bed tu haowengine hudozz kinacha shanga sasa ni hapo kwa pan nilazima niombe kwao
2026-08-10 15:54:10
0
notorious_206
davionx :
Anaamkanga kama mtu anafanya press ups asubuhi 🤣🤣🤣
2026-08-10 11:03:28
0
miss.sarii4
Miss ❤️s❤️a❤️r❤️i❤️i :
15/15 kujeni
2026-08-10 12:06:18
0
meldah.mali
melo mike :
soo 150 inanunua kitanda wacha kufatilia maisha yangu bwana🙄😁
2026-08-10 13:39:50
0
abdulnassib969
𝘼𝘽𝘿𝙐𝙇 𝙉𝘼𝙎𝙀𝙀𝘽 :
🤣🤣🤣🤣𝙖𝙣𝙜'𝙤 𝙢𝙖𝙩𝙞𝙢𝙤 𝙟𝙤𝙢𝙤𝙠𝙤𝙤 𝙮𝙖𝙬𝙖🤣🤣
2026-08-11 23:20:55
0
antwerp.eu.uk
Musyoka 🇰🇪🇰🇪 :
kwa hivyo angepika kitanda kwanza.
2026-08-11 19:08:48
0
micahisaac459
Micah Isaac :
inakuuma tena
2026-08-10 04:52:04
1
ambrosesimiyu73
@winnerking :
sasa asikule chapati juu hana kitanda🤣🤣 food is more basic 🤣🤣
2026-08-10 10:59:07
1
jumaamsoza
Msoza Welding and Fabrication :
nilikwambia usiende kutangaza ona sasa
2026-08-11 18:00:17
0
user6327161577536
mwita sigore :
kumbe unaingia kwangu kunisorora, nikuone tena
2026-08-11 16:18:30
0
diana.d903
Diana d :
unga ya chapu ni 150 kitanda ni 5k
2026-08-11 14:36:57
0
user6739766377329
shaaz :
that is none of your business
2026-08-11 14:20:32
0
obedgetenga
OBED MG :
Sasa mtu haezi pika chapati zake Kwa amani,,juu ya kitanda tu😳😳😳
2026-08-11 18:34:46
0
abigailambani0
Abigail Munene :
Kwani kitanda ndio inataka kukula chapati
2026-08-11 06:49:15
0
spiky1685
spiky😜 :
ulikua kwake kufanya nini ndio ukaona hakuna kitanda😄😄
2026-08-10 19:39:46
0
reginawanga969
Regina Wanga :
so asikule chapo atatoa wapi nguvu ya kulala kwa hio kitanda kula chapo jirani😆😆😆😆
2026-08-09 14:09:50
1
To see more videos from user @iantezcoe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About