Muda ni kitu cha thamani sana, ukipoteza pesa unaweza kuzitafuta na ukazipata tena, lakini muda ukipita haurudi tena. Jifunze kuthamini kila dakika, wapende unaowapenda, samehe mapema, fanya mema na usiahirishe mambo muhimu. Maisha hayangoji mtu, na kila sekunde inayopita ni sehemu ya maisha yako ambayo huwezi kuirudisha
#road trip MTEMBEZI
2026-08-09 13:10:53
5
traveller__man :
Time the time before the time times you
2026-08-09 12:53:23
1
mwana nchambi ❤️♥️ :
saiv watasema😁😁
2026-08-11 15:44:05
2
Mwani 003 :
Nikikumbuka huwa namsaidia dereva kukanyaga brek halafu nipo siti za nyuma basi najifunika kikoi mpk usoni nasinzia 😂😂
2026-08-11 11:59:02
2
moudkoffie :
kabisaaa
2026-08-09 13:07:04
2
mosesfeer_ :
Mbona pulling ndogo shida nini😅
2026-08-09 14:52:59
3
1hz🇹🇿 🦅 :
😂😂😂
2026-08-09 20:03:32
1
kyle_360_0 :
2026-08-09 14:42:26
1
Colman shirima :
kazi na muda
2026-08-09 12:55:35
1
MAWE 47# :
unadhani hajajua kama unamvizia 😂😂😂
2026-08-10 06:59:27
1
Shabani Mussah29 :
muda ni mali wahi tu wahi🛣️
2026-08-09 21:09:39
1
first :
kaka hyo GR n jina tu mpangiee upya gear
2026-08-11 07:00:15
2
Neyjo :
2026-08-09 12:47:56
1
@Mlacha3631 :
kumbe kuna muda davoo ukiwa kushoto unaendeshwa kunakuwa hakuna raha kbs😁😁
2026-08-09 13:28:10
1
𝔓𝔯𝔦𝔪𝔢𝔗𝔞𝔫𝔷𝔞𝔫𝔦𝔞🇹🇿 :
Time is money 🙏🏽👊🏽
2026-08-10 05:43:47
1
hamie :
Heshimu heshima🙏
umeme
2026-08-10 05:47:30
2
🅜︎🅡︎ 🅜︎🅢︎🅤︎🅨︎🅐︎&$🇹🇿💥 :
Leo iyooo
2026-08-09 14:04:42
1
MSWAHILI🚯 :
Umeme
2026-08-09 16:19:54
1
HARMONY :
kwishaa.
2026-09-16 21:39:02
0
Jeijaa :
Aaaaah Ndio but tusituane presha bhn
2026-09-21 07:36:16
0
twalibumapinda :
Leo Leo Leo wahuni wooote Ndani ya nyumbaaa
2026-08-09 16:13:27
1
cutep🦋💰 :
Hata pesa sio za kupoteza kizembe mwanangu😂😂😂😂😂
2026-08-09 18:24:11
1
mundekesye :
na mda uendane na akili si ndio
2026-09-12 16:38:33
0
Malalejr :
Unaendesha Umeme🫵
2026-08-11 07:17:55
1
To see more videos from user @mtembezi_tnz, please go to the Tikwm
homepage.