@mamatanzania1: Example muhimu😂😂😂💔 #mamatanzania #funnyvideo #fyp #comedia #viral

mamatanzania1
mamatanzania1
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 12:54:45 GMT
325052
24317
1293
1801

Music

Download

Comments

giraffe418
Giraffe 🦒🦒 :
😆😆😆😆weee si nilimsaidia akakosa Yani anashuka tu kwa school bus yupo hoi anacheka eti mamaa😂😂😂😂😂😂tumekosa
2026-08-10 08:57:49
749
phynel17
FiFiDeL👑💫✨ :
sio example tu😂 kama wanawapa wanafunzi homework basi sisi kama wazazi watutumie majibu 😂😂😂
2026-08-09 17:41:01
591
sharontrace1
Sharon❤️ :
Wangu ashakataa kusaidiwa anasema mama we hujui 😂😂😂
2026-08-10 09:26:43
348
sabrinachabby255
sabrinachabby255 🇹🇿🇿🇲 :
Kuna siku mimi ,student na chat GPT wote tumekosa homework 😂🤣
2026-08-10 06:11:48
121
princesmorine0
[email protected] :
Tunaomkubali Mama TANZANIA mkuje hapa kwa ❤️😅😅😅
2026-08-09 12:58:21
596
andymohd1
Mr Andyمنصور 👑 :
Afu vinakuaga vijuaji utasikia madam afanyagi ivyoo😫😂😂😂
2026-08-10 05:53:50
106
drathtido13
Kudrath❣️ :
😁😁😁😁😁 Naona aibu mm kwanza kun siku mtoto kaniuliza swali nikasema sijui weee kaniangalia kaniuliza kwan mama we ulivokuw mdogo hukusoma😅😅😅
2026-08-09 19:17:45
167
wirelessks
Amaniel Msuya :
Homework ni Kwaajil Ya Mtoto Sio Mzazi🤣
2026-09-25 07:36:06
6
gladymoses1
gladymoses1 :
😂😂😂mi nateseka na kifaransa sio poa,mtoto ananiuliza mama kwani wewe hujui
2026-08-09 13:00:07
87
annahst02
Annah Steven :
Wa kwangu aliniambia mama sio ivo ebu mpigie madam 😂😂😂😂😂
2026-08-09 19:04:21
65
user2566010276120
mariam :
mtoto anarud anasema mama tumekosawote
2026-08-09 19:09:19
55
kimney128
kimney128 :
wangu aliniambia acha tu nifanye mwenyewe maana sijawahi kukuona unaenda shule😂
2026-08-10 11:12:08
77
dream.girl2873
Dream girl :
Heee me wangu nilimfanyia homework akarudi kakosa zoteeee
2026-08-10 03:56:13
33
caesar904
B A B A W A R D A 🥲 :
hii ilinikuta m nashangaa nafanya homework mtoto wangu ananiangalia kumbe anashindwa kunambia kuwa baba unakosea.....asee alikosa zile hesabu....hesabu zenyewe ○○○+○=basi m nikamwambia weka ○○○+○=○○○○ kumbe jibu ilikuwa ○○○+○=4 😅😅😅
2026-09-10 11:17:57
12
cough1909
✨🦋GiGi🍒🥰 :
kumbe umeona tusionenane wajinga wote...... 🤣🤣
2026-08-09 12:59:11
8
maria_mwandulusya
maria_mwandulusya :
Juz mtoto kaja na homework aandike e-ze nkasema huyu mwalim anakichaa ndo nini nlichekwa aakaanza mwenyew anaimba e be ce de fe ge he sasa anavyozitamka ndo mamaaaaa si tushazoea abcdefg🤣🤣🤣
2026-08-09 20:15:15
12
rene_beauty_lab
Rene_beauty_lab :
nikianza kumsaidia homework, ye ndo anakua ananifundisha mm nabak natoa mimacho2
2026-08-09 19:10:43
6
gracedaniel982
gracedaniel982 :
hili nalo neno mama Philipo 😂😂😂
2026-08-10 08:44:40
11
jescah_kihaka
Jescah ♥️♥️ :
nilimsaidia mwanangu hesabu akarud amekosa zote 🤣🤣🤣
2026-08-10 09:04:37
14
upendo.george4
yellow flowers🌼💛 :
kunasiku G wangu ananiambia mama naomba laba😅 mimi sasa laba za nini usiku uhuu ndio ananiambia mama ufutio🙄 khe niliishiwa pozi na sijui kama apo juu nilivyo andika nimepatia au laha😂😂
2026-08-11 21:44:18
15
wanzita.wilfred
Wanzita Wilfred :
mm nilimfundisha mwanangu akaenda kukosa zote akarudi analia mpaka leo hataki nimfundishe😄😄😄😄😄😄
2026-08-10 07:29:00
23
.ester360
🦋 Ester :
Kuna siku nimeenda ugenini mtoto kapewa homework analia amepewa homework ngumu mm nilipomuona analia nikasema ngoja tu ni msaidie nimfanyie weee karudi mtoto analalamika amepata sifuri ananishtaki Kila sehemu nimesababisha apate sifuri yoooh nilikoma
2026-08-10 10:31:55
6
lillian.umburi
quite🌸🌸lover🦋 :
unamfundisha vizuri alaf hawasaishi yaan mim wananiuziii😏😏😏
2026-08-09 19:02:14
7
noela.9955
Nonoh🤍 :
Kuna uyu wangu anasoma kichina 😭nazalilika
2026-08-09 20:07:13
7
user6007808155133
Aggy christian :
Nakupenda bure mama philipo🤣🤣🤣
2026-08-09 13:00:24
11
To see more videos from user @mamatanzania1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About