Jamani mama Kuku nimekukumbuka tulikutana kwenye interview ya watoto Moshono st Monica ukaniahidi kunifundisha ufugaji wa kuku ila nilipoteza no yako. Hongera sana mpenzi 👏👏
2026-08-10 14:02:10
1
curtisherman29 :
Oob jambo la kheri je kutengenezewa Banda kama hayo inakuaje nahitaji msaada wako
2026-09-11 10:04:59
1
Happybrightonbraelin :
hongera Sana ndugu
2026-08-12 04:27:46
1
Anna shayo :
Lily unapatikana Arusha sehemu gani mwaya
2026-08-12 11:49:48
0
Queen aggy 🇹🇿👑 :
Mrs Seba 🫶🫶🫶
2026-08-12 05:07:25
0
francis :
habari mama kuku napata vifaranga vya miezi miwili?
chotara
2026-09-09 12:40:19
1
paulmasssawe :
mam nataka Banda nipo kibosho moshi nalipatajee
2026-09-14 19:48:09
1
user9596555277456 :
nipatie namba yako
2026-08-18 02:52:33
1
Razia Noronah :
oliva
2026-08-09 19:13:52
1
Helleana auto spare parts :
Hongera dear , nahitaji Banda ni sh ngapi?
2026-08-12 07:50:07
1
wapolee :
naomba namba
2026-08-11 12:43:02
0
honest juma . :
ulisema zile plastic ya kukingia uchafu ni bei gani?
2026-08-11 18:15:35
2
Ndetymbise :
ninaomba nambà
2026-08-11 10:37:32
1
Estar Mohamed :
naomba no yako nataka unifundishe
2026-08-09 13:41:32
1
GraceKalonge :
namm nataka nakupataje
2026-09-30 16:17:35
1
jackline stonny :
Respect
2026-10-02 11:24:15
0
jackline stonny :
Cage bei Gani
2026-10-02 11:24:23
0
davyelihaki :
liliani za siku
2026-08-10 20:43:52
0
To see more videos from user @lilian97734, please go to the Tikwm
homepage.