@mapenzihisia6: 1.Najua nimejaribu vya kutosha, nimevumilia na kupenda kwa dhati… lakini mapenzi hayalazimishwi. Kama moyo wako haupo kwangu tena, sitapigania nafasi ambayo tayari imeachwa. Nimechoka kuonekana kama chaguo la pili wakati najua thamani yangu. Kuanzia leo nachagua kujiheshimu , nachagua amani yangu kuliko kukaa mahali nisipopendwa. Ukihisi kunipoteza ni sawa, ila kumbuka si kila mtu anarudi. This is my last message… take care.💔✨ 2.Sitaki kulazimisha mtu kunipenda. Kama moyo wako hauko kwangu, nitaondoka kwa heshima. Najithamini kuliko kubembeleza penzi lisilonitaka. Huu ndio mwisho wangu… chagua furaha yako, nami nachagua amani yangu.💔. #creat#creatorsearchinsightstalkrelationshipadvice #fypシ
i still love you but I no longer have the energy to force the situation if you need me I'm still here
2026-09-05 15:47:32
0
Angel beauty saloon :
Wala Simwambiii chochote ukimya wangu unamtosha☹️
2026-08-18 16:28:43
154
Abel Muzungu :
Sasa Kuna mimi ambaye huwa Ananikalia kimya Muda wote 😭😭😭
ila akiwa na Shida na Hela Ananitafuta
mnanishaurije hapo ?🤔🤔🤔
2026-08-19 05:05:47
39
Tunda beiby :
Mimi nami kujieleza sana kwa mwanaume ndio kitu siwezi sijui shida n nini
2026-08-18 14:15:54
26
Josephina chimamy 💕 :
mim Bado natembea sijui Kam ntafika Salam mahaan naon balabal mbovu kidogo. 😂😂🥰
2026-08-18 08:33:33
4
Mom Naya 🥰🥰 :
kuongea San kunashusha brand nakaa kimya tuone mwisho
2026-08-19 21:03:44
34
ROSEMARY🌹 :
Hata ukimtumia message ndefu ya kutia huruma bado hakupendi 😂😂😂😂
2026-08-21 06:39:54
12
teta :
Ngoja nimufollow mwalimu wa mahaba😂
2026-08-18 08:25:16
15
fatumamzonge8 :
mi nakaaa kimy2 ukimy wangu unamtosha xijielezei sana🥰
2026-08-31 12:21:41
1
doktamabango :
kujieleza sana dharau ipite shwaaaa as long as nadinda wapo tu
2026-08-18 13:05:47
11
Baby💞 girl 💖 :
mm nitakaa tyuuu kimya muone hatima itakuwaj
2026-08-24 05:57:42
2
𝑤𝑎𝑧𝑖𝑟𝑖 𝑠𝑖𝑛𝑎 𝑝𝑒𝑠𝑎 :
natamni nimuandikie ivo ila nashindwa bado nampenda sana ila yeye ajari kuhusu mm
2026-08-20 13:28:04
8
lucyaaron :
huu wimbo unaitwaje msinifokeee
2026-08-18 16:13:06
6
Dores John :
mimi nikiona hivo namgeuza kuwa mshukaji natafuta ubize najipa ubze kupita maelezo mahana yake napoteza hisia nayeye na mapenzi kwawakati huo nakua naubize wangu mpaka mwenyewe ndo atasema umekua bize naomba kila mtu afanye mambo yake tuachane namimi ndo ninapouliza tunaachana sangapi saivi au ulikuwa unashaurije🤣🤣
2026-08-21 13:37:23
4
@Abdu jumbe :
huwo muda sina
2026-08-21 23:10:22
1
Eddy-God JAÏVAH :
I am single
2026-09-01 10:24:52
2
Amy Love ❤️ :
xahihi 🫡🫡🫡
2026-08-18 11:39:18
2
Sweat lidah🍓🍒 :
me nitatulia tu cto ongea chochote
2026-08-25 10:12:13
0
hamisi juma :
tulio singo jamn tujuane
2026-08-30 21:09:54
5
Mary :
Akijua unampenda na yeye akutaki ata umueleze ni dharau2 hio nguvu yakujieleza na stres mingi bora nitafutie mtu alafu nikishapata sasa ndio nimueleze kamanamwacha ashangae kwani ameniwacha na akaheal arakaje🥹🥹🥹
2026-08-19 06:06:40
5
cindydavid511 :
halafu ajibu Amen😏
2026-08-19 20:29:15
1
💞miss smiling ☺️💗 :
hata huo mda wakutuma hy sms sinaga🤣
2026-08-22 06:27:32
1
Masalu Simbila :
kweli
2026-08-21 20:15:01
1
hamida99 :
uwo muda ndo sina jaman🤣
2026-08-21 16:50:09
1
JASEME KAKELO :
hi wimbo nimetoa pali
2026-08-22 03:37:57
1
To see more videos from user @mapenzihisia6, please go to the Tikwm
homepage.