Babaatu unamchukia baba sesi ndo kitu nimekigundua
2026-08-10 00:09:36
37
nguo kali za watoto 🥰🥰 :
unaweza kuzani ni utani ila watu wa hivi wapo kweli kabisa 😂😂😂
2026-08-09 17:13:55
232
Mackie Royal Fashion :
ni kama comedy ila ina uzito😳
2026-08-09 19:42:48
70
Tausi Ramadhani :
kumbe baba atu kumbe ana roho mbaya ndio kitu nimekuja kujua😅😅😅
2026-08-09 16:59:05
70
🌸Nerola Luxe Palace🌸 :
baba atu anamuelekeza Mungu kiwanja cha baba cecy kilipo😂😂😂
2026-08-09 19:54:47
62
cutetorry4 :
Mpwapwasho moja kwa moja kwa bab muumba 😅😅😅😅
2026-08-09 17:34:20
37
🎀it's"r"a"y"@♥️💞🦋 :
😂😂😂 mm ndo mama sec
2026-08-09 17:32:30
1
Brave-JB :
😂😂😂😂Kulikon 😎
2026-08-09 17:40:08
1
Joansia Msengi :
kanunue chupa ya chai na usimwambie mwaya.😂😂😂
2026-08-09 18:05:53
34
Janeth ❣️❣️ :
Lakin twende mbele turudi nyuma, kuna mtu uakua na rafiki ambae hakushilikishi chochote cha kwake lkn wewe unamshilikisha kila kitu chako, unashangaa ghafra tyu rafiki yako amenunua hiki kanunua kile😂 ila apo kwenye chupa baba atu uwiiiiiiii 😂😂😂🙌
2026-08-09 17:09:14
45
Valerie :
Huwezi kulia hivi alafu nikunyime like
2026-08-09 18:44:13
27
kifunakifunamwait :
Kitu nilichogundua baba Atu leo umeumia🙌
2026-08-09 19:09:16
12
baby cute 🌹 :
kwanza me sio muombelezi🤣🤣
2026-08-09 19:54:51
5
rashG🤍 :
😂😂😂una vimaneno sana ndo kitu nimekuja kugundua
2026-08-09 17:07:55
23
Disaster 😎🤐 :
Why mim
2026-08-09 16:59:04
11
user4574319481021 :
babaatu kiboko upwapwaso hadi kwa baba 🤣🤣🤣🤣
2026-08-09 17:12:11
8
Officialtee🥀🍒 :
huez kuomba kwa hisia kuhusu baba cecy alafu nikakunyima like😂😂 jaman adi kamelia 😂
2026-08-10 06:57:55
6
To see more videos from user @pilitoni2, please go to the Tikwm
homepage.