@thevoiceofafrica21: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). John Heche Mungu ameukataa utawala Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kama alivyoukataa utawala wa Sauli #TheVoiceAfrica #tanzaniatiktok🇹🇿 #siasatanzania #foryoupage #viral
very unique country,Tanzania[Red heart][Red heart]
2026-10-04 18:43:11
0
S.I :
don't say that my heart is pain
2026-10-05 04:18:21
0
Mr G :
Heche kwa sasa nakuona Kama Rais ajae
2026-10-01 10:36:24
8
daudbalutwa Og :
Hii ni zaidi ya injili sema ameeni
2026-09-03 01:57:25
40
Zungu Paskal :
heche pole sana mkuu kuwaelewasha watanzania
2026-10-04 05:30:26
0
mizozo :
inabidi tukulinde xna
Mfalme wa haki
2026-08-31 13:28:59
27
stanley :
kweli heche mungu akubariki
2026-08-10 06:40:21
29
Moses Andrew :
Heche kaka unanikosha💪💪💪
2026-08-09 19:06:37
7
G feelvibee🇹🇿🇹🇿 :
Mungu tunaomba utulindie Heche..... asiuwawe........,angalau aje afaidi matunda ya hichi anachokipigania kwani anapenda nchi yake......na lisuu umkumbukeee 🙏
2026-09-06 06:42:36
9
Haroub Suleiman :
miongoni mwa biashara kubwa ni siasa na siasa ni uongo kwenye biashara hio ya siasa wanatapeliwa wengi wote waliopo hao washatapeliwa kifikra ,sasa kilichokuzuwia nini usilete watalii ni biashara huria hio kenya utalii ni biashara binafsi sio ya serikali
2026-09-05 08:59:46
0
Faustine s lukuba :
Mungu mlinde lisu ,mpe hekima na maarifa heche
2026-08-31 04:16:24
8
Lotha tours and safari.. :
mungu akulinde mzee mkubwa
2026-09-03 10:21:21
11
user5009355129775 :
dah kaka heche upo vizur Mungu akulinde mzeeeeee
2026-08-10 04:22:00
12
Aisha Habs :
upo sahihi kaka heche nkwel
2026-08-10 09:38:14
8
nyangi hura :
nabii amesema kitu 🥰
2026-09-14 04:18:48
5
Godfrey Ruben :
barikiwa sana mzeee
2026-09-04 05:00:42
7
boscotheodory2 :
hongera kaka
2026-08-10 06:59:19
5
joseph mavumba :
Akili kubwa hii
2026-08-10 10:47:10
7
ALLEN NADHAN 🤐 :
kiongozi wetu hatakama sio raisi kwa sasa huyu ndo chaguo letu tukiachana na siasa na vyama vyetu
2026-09-03 12:40:28
7
Denis Bahati :
mungu akulinde sana
2026-09-07 17:50:30
2
Matewele og :
sasa kama mungu alipanga lisu,awekiongoz nini,kinazuwia mipango yamungu?
2026-09-05 13:25:52
0
Julias Jackobo :
kweliiii baba
2026-09-13 18:44:52
1
Geoffrey Jonathan :
uyu baba ni mwaminifu sana
2026-10-04 15:23:15
2
Silas kuyan :
umeongea kaka point mkuuùuuuuu
2026-09-13 18:29:14
3
Juma Egina :
heche nakuona kesho we ni makamo wangu wa raisi na risu ni raisi
2026-10-04 03:15:34
2
To see more videos from user @thevoiceofafrica21, please go to the Tikwm
homepage.