Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@rashda_swedi1: #creatorsearchinsights #creatorsearchinsightsviral
RS Fashion & design
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 16:50:59 GMT
49785
964
27
217
Music
Download
No Watermark .mp4 (
5.03MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
4.18MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
Amina bonge :
Nimependa ngoja nichukue vipo unishonee unitumie
2026-08-24 17:03:42
0
user1187450458722 :
upo dar sehem gani
2026-08-13 08:23:24
0
moureen07 :
itakuwa sh.ngapi nguo mbili??
2026-08-13 10:10:19
0
Nusrat Yahaya :
nahitaji
2026-08-09 18:34:08
0
nuru abdallah :
unapatika wapi
2026-08-10 17:29:23
0
Stella :
kama Hilo unauza bei gani
2026-08-09 19:26:55
0
Sowa Mnyamisi :
hiki kitambaa kipo
2026-08-23 16:18:53
1
Catriiiiina🪴 :
kama hilo ni mita ngap ☺️
2026-08-12 16:40:46
0
Neema Nyàkiaga :
nizur
2026-08-11 19:54:59
0
aysher :
mshoo nimeupendaa mnoooo
2026-08-10 04:12:15
0
eastherjoseph360 :
unapatkana wapi
2026-08-19 16:02:14
0
rachaelmwanapili :
nielezeni jinsi ya kuikata jmn nijifundishe nikate yangu
2026-08-13 11:06:44
0
Halima Yusuph :
una patikana wapi
2026-08-13 10:11:12
0
Nisalile :
unapatikana wapi
2026-08-10 10:28:10
0
Mumu🥰 :
Nimependa jmn
2026-08-13 23:58:53
0
To see more videos from user @rashda_swedi1, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
#kamranshahani #psf #dadu
awful things #lyric #xcyzba #fyp #lilpeep #lilpeep🖤 #peep
Typical selfie video #prettygirl #selfievideo #xyzbca #sopretty
⚠️ FAKE SITUATION ⚠️ FAKE BODY ⚠️ suara yang ditunggu kaum gratis ongkir 🤗😱 #paketsantet #filmpaketsantet #dikiriminpaketsantet #clip #viral #fyp #filmedit #infofilm #fyppppppppppppppppppppppp #filmhoror #filmhororindonesia #fikinaki #film #fadli #masukberanda
Vyakula vya Kula (Vyenye Kusaidia na Kulinda Afya ya Ini) ✅Mboga za majani zenye rangi ya kijani iliyokolea: (Sukuma wiki, spinach, brokoli) Zina vioksidishaji (antioxidants) na virutubisho vinavyosaidia ini kuondoa sumu mwilini na kupunguza msongo wa seli. ✅Matunda mepesi na yenye maji: (Machungwa, papai, tikitimaji, maapulo) Yana vitamini C na nyuzi lishe (fiber) zinazosaidia kazi ya mmeng'enyo wa chakula na kulinda seli za ini. ✅Protini nyepesi: (Dagaa, samaki wa maji baridi au chumvi, kuku aliyetolewa ngozi, maharagwe, na dengu) Zinasaidia kujenga na kukarabati tishu za ini bila kulipa ini mzigo mkubwa wa kusindika mafuta. ✅Nafaka zisizokobolewa: (Unga wa ngano ya nusu au nzima, udaga/ulezi, oatmeal, mchele wa kayabo/brown rice) Zina wanga wa taratibu unaotoa nishati endelevu na kupunguza mlundikano wa mafuta kwenye ini. ✅Mbegu na mafuta afya: (Mbegu za maboga, mbegu za chia, mafuta ya mzeituni/olive oil kwa kiasi) Zina mafuta mazuri na vitamini E inayosaidia kupunguza uvimbe wa ini. ✅Maji mengi: Kunywa maji ya kutosha kila siku inasaidia mfumo wa mwili kusafisha sumu kwa urahisi na kupunguza kazi kwa ini. Vyakula vya Kuepuka kabisa au Kupunguza (Vyenye Kuongeza Mzigo kwenye Ini) ❌Pombe: Hili ndilo jambo la kwanza kuliepuka kabisa; pombe inaharibu seli za ini na kuharakisha kovu kwenye ini (cirrhosis). ❌Vyakula vyenye mafuta mengi na ya kukaanga: (Chipsi, nyama yenye mafuta mengi, majarini, vyakula vya kukaangwa kwa mafuta yaliyotumika mara nyingi) Mafuta kupitiliza huongeza uzito kwenye ini na kusababisha fatty liver. ❌Sukari na vinywaji vya viwandani: (Soda, juisi za viwandani, keki, peremende) Sukari iliyozidi hubadilishwa kuwa mafuta na kuhifadhiwa kwenye ini. ❌Chumvi nyingi na vyakula vyenye chumvi ya kiwandani: (Sausage, biskuti za chumvi, vyakula vya makopo) Chumvi nyingi inasababisha mwili kuweka maji mengi (fluid retention) na kuongeza msukumo kwenye mfumo wa ini. ❌Unga mweupe uliokobolewa: (Mikate myeupe, wali mweupe, mandazi) Mmeng'enyo wake ni wa haraka sana na unaweza kuchochea kuongezeka kwa mafuta mwilini. ❌Dawa za kujitibia bila ushauri wa daktari: Mbali na chakula, epuka kutumia dawa za kutuliza maumivu au virutubisho vyovyote bila kibali cha daktari, kwani dawa nyingi husindikwa na ini na zinaweza kuliharibu zaidi. Rowaru medics~tiba ya uhakika na ushauli mahili Follow page hii kwa elimu zaidi #viral #kenyantiktok🇰🇪 #usa🇺🇸 #oman🇴🇲 #trending
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy