@taimediatz: #VIDEO Shuhudia Mtoto wa Rais wa Kenya, Charlene Ruto alivyochezeshwa kisukuma na mchumba yake Isaya Yunge kwenye sherehe ya kimila ya uchumba wao. ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatz #taimediatv
taimediatz
Region: TZ
Sunday 09 August 2026 17:10:46 GMT
Music
Download
Comments
Manoni farm :
Wasukuma to the world
2026-08-09 21:35:40
0
favour💞 :
oya wasukuma taifa kubwa tumeoa Hadi Kenya😂✌️
2026-08-09 18:47:11
55
Ltiz :
Sukuma Above All❤ 🔥
2026-08-09 18:57:08
0
lusombo :
sukuma voice
2026-08-09 21:35:47
1
makenzi630 :
very proud of sukuma men
2026-08-09 21:03:16
1
Mamy's :
Waapii wasukuma oyeee sis n taifa kbwa🥰🥰
2026-08-09 17:59:27
54
Dr. Esther Nkuba :
Tumetoka Katoro sasa tunachukua mke kutoka Kenya, siyo Kenya tu bali mtoti wa Mh Rais. Wasukuma oyeeeeee
2026-08-09 17:51:38
66
Imelda Paul :
wasukuma wapi hiyoooooooooooo
2026-08-09 17:43:41
20
Rafaeli Paschal :
2026-08-09 21:57:46
1
Tt kt :
wasukuma Taifa kubwa
2026-08-09 19:08:00
5
Emmanuel Kawawa :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣wakenya waelewe kuwa Tanzania sio kiswahili tu kuna matawi yake 🤣🤣🤣🤣
2026-08-09 21:39:57
3
Mtiki | Interiors :
Ila wasukuma mnatupeleka race sana🤣🤣🤣🤣
2026-08-09 19:26:29
4
Lizzy smile🥰🥰 :
Wasukuma huu mwaka mtuachie kwanz hatupoiii
2026-08-09 19:20:44
3
Jayden'smom :
sukuma to world 🌍
2026-08-09 17:19:12
10
Vee🇰🇪🇬🇧🇺🇲🇦🇺🇨🇦🇩🇪 :
ama wasukuma ndiyo,wakisii ama wakamba wa Tz 🥰
2026-08-09 22:04:38
2
MERISSA IBENGWE :
wasukuma oyeeee
2026-08-09 18:12:09
3
userPendojovenary0105 :
😂😂😂😂😂😂😂😂huuu mwaka mumejua kuwakilisha taifa
2026-08-09 17:57:01
12
Godfrey Lucas :
Magu tumeheshimishwa Wasukuma noooma xaana
2026-08-09 21:43:31
1
Haiba Adam :
Sasa wote tukubali huu mwaka 2026 ni special Kwa Wasukuma 🔥🔥
2026-08-09 19:11:06
13
justerlucas :
Wasukuma tutazidi kuwa juu tu mpaka mkubali 😂
2026-08-09 20:31:02
2
mom😍&Daughter💋👑 :
tunae wifi kutoka kenya utamuweza kwanza kaka yetu 😂😂
2026-08-09 18:43:42
4
Da Mamu🥰 :
kumbee musukuma mwenzetu wasukuma tumeweza🫡🫡🫡🫡🫡
2026-08-09 18:06:19
1
A...L....e@× 23 :
siku ya harusi Ruto acheze hiyo nyimbo aisee
2026-08-09 22:18:38
0
abdulqadirkibassa :
NA MIMI NAENDA MOMBASAAAA
2026-08-09 22:02:39
0
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.