hakuna dhambi ya kunywa pombe watu wanapaswa kuelewa pombe sio. dhambi isipokuwa matendo unayofanya baada ya kulewa ndio maana wanasema kunyewni ila msilewe
2026-08-23 18:27:29
4
Mirambo11 :
wale wa proud to be, mko wapi
2026-08-10 04:36:21
7
Sebius Tembile :
waroma tujuane hapo
2026-08-09 19:02:27
8
Yusto Gabrielimlay :
😂🤣🤣🤣🤣🤣 padri unatuchonganisha na Yesu wetu
2026-08-09 18:57:00
4
Lupama :
hii ni AI
2026-08-24 06:38:47
0
kabaro :
nitakuja kulewa kanisani
2026-08-23 19:30:11
1
nellyset :
kweri padri unasalisha wapi nije uko
2026-08-22 17:08:40
2
kizzo khan :
baaaaaasssssss mmekwishaaaa, kuna nini tena kuna nini tena?
2026-08-24 01:18:10
0
user4948184858702 :
Amen
2026-08-23 17:56:43
1
Mungu ndiye anae inua. :
mi nimeishia darasa la 2,ila m! sizan kama unanizid elimi
2026-08-11 17:45:20
1
Sebius Tembile :
😂😂😂😂😂
2026-08-09 19:01:46
2
nellyset :
pombe sahihi ila usilewe tu ndy maana masista wanauza wine visiga na waumin wengin wanauza wine ingekua dhambi wasingeuza na kutengeneza wine ni alcohol
2026-08-22 17:10:06
1
patiedo 17 :
maaandiko yanasema kunywa pombe kwa kiasi na kwa wakati wake kwa leta shangwe na furaha rohoni.
2026-08-23 18:24:28
7
Lesco Fussi :
uko vzr
2026-08-11 11:06:57
1
PâUl mAkêR🎤 :
Kuna mtu anasema ety ni AI😂
2026-08-23 18:29:24
1
LAURENT MALLANGE :
Umenena vema TYK Pd
2026-08-23 21:51:08
0
Gatesi❣️❣️ :
Mchungaji mitano tena ❤️❤️❤️❤️
2026-08-24 04:19:22
0
mropenivanjuy :
imeisha iyooo
2026-08-23 20:48:32
0
Steven Anthony :
ata bible imeandika pombe na kitazamo tofauti, mtume paulo anasema katka Timotheo 5:23 – Paulo anamwambia Timotheo: "Usinywe maji tu, bali tumia divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako.. hapa ilikuwa na kaktka matibabu, waefeso na mithali pia pombe zimeitazama tofauti tofaut kwahyo karbuni tupone tumbo😄
2026-08-23 19:50:39
0
To see more videos from user @big.paul22, please go to the Tikwm
homepage.